Waziri Lawrence Masha hana uwezo

...Siwezi kuamini kama mpaka leo kuna watu hawajamjua magufuli kuwa ni mshenzi na hafai kuwa kiongozi wa level aliyopo...ni mropokaji,mwongo na mtaka sifa...zile takwimu anazotoaga,ukiwauliza wataalamu wenyewe wanaohusika wanakwambia ni kanyaboya...wadanganyika wengi hawana uwezo wa kumchambua mtu...ndio uzuri wenu...anachofanya huyu jamaa ni kucheza na vyombo vya habari na kupiga kelele then wajinga wanamshangilia.....amka !!!wacha ujinga!!!

Mkuu hebu rudia tena maneno yako uliyosema mwaka 2008, tatizo la watanzania hawana uwezo wakuona mbali.
 
Huyu Magufuli ni kanyaboya. Kama kawaida anatafuta sifa. Wenzake wamemuingiza mkenge. Wamemuacha afanye mambo hayo ya kunyanganya watu viwanja ili wananchi wamchukie na atoke katika mioyo ya watu. Watanzania wangapi wenye uwezo wa kujenga nyumba in 3 years kama sio hao mawaziri na vigogo wengine serikalini? Acha awakera watu ili atakaponyang'anywa uwaziri watu wasilalamike!

Ni huyuhuyu kitila mkumbo au watu wamehack ID yake?
 
Huyu Magufuli ni kanyaboya. Kama kawaida anatafuta sifa. Wenzake wamemuingiza mkenge. Wamemuacha afanye mambo hayo ya kunyanganya watu viwanja ili wananchi wamchukie na atoke katika mioyo ya watu. Watanzania wangapi wenye uwezo wa kujenga nyumba in 3 years kama sio hao mawaziri na vigogo wengine serikalini? Acha awakera watu ili atakaponyang'anywa uwaziri watu wasilalamike!

Aisee kumbe Rais wetu ni KANYABOYA.... mnafiki siku zote huishia kuwa MCHAWI, haya Kitila njoo uyakane maneno yako haya haraka sana
 
Hata hivyo Rais Magufuli anajaribu kupambana na jambo kubwa sana ambalo mimi naamini lipo juu ya uwezo wake.
Watu anaoshindana nao ni walewale walomuweka madarakani,sasa sijui anaigiza au ana maanisha.
Sasa hivi wenzake ndani ya ccm wamekaa kimya wanamsikilizia tu.
Sasa siku atakapogusa mikataba ya madini na gesi ndio nitaamini anamaanisha na siyo maigizo.
 
Kwenye hii thread kitila alimuita boss wake wa sasa kanyaboya....ahahah kumbe ndio maana tunafundwa kuwa na akiba ya maneno
 
Huyu Magufuli ni kanyaboya. Kama kawaida anatafuta sifa. Wenzake wamemuingiza mkenge. Wamemuacha afanye mambo hayo ya kunyanganya watu viwanja ili wananchi wamchukie na atoke katika mioyo ya watu. Watanzania wangapi wenye uwezo wa kujenga nyumba in 3 years kama sio hao mawaziri na vigogo wengine serikalini? Acha awakera watu ili atakaponyang'anywa uwaziri watu wasilalamike!
duh hivi bosi wako akiona unamwita kanyaboya atajisikiaje?
 
Magufuli ni kidampa na mropokaji. Rita amedai kiwanja siyo chake, sasa Magufuli kwanini analitangazia bunge kwamba kiwanja ni mali ya Rita?

Bado hatujasahau kashfa za Magufuli za kutetea uuzwaji wa nyumba za serikali kwa bei poa. Zoezi hilo limeitia hasara kubwa nchi yetu na wananchi mtasaga meno siku mtakapotajiwa hasara hiyo.

Tunahitaji Mawaziri wenye uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo kulingana na ulimwengu wa kileo. Magufuli hana analolojua zaidi ya bomoa-bomoa na upraji wa viwanja.
Natamani kuchangia lakini ngoja nipite kimya tu
 
Huyu Magufuli ni kanyaboya. Kama kawaida anatafuta sifa. Wenzake wamemuingiza mkenge. Wamemuacha afanye mambo hayo ya kunyanganya watu viwanja ili wananchi wamchukie na atoke katika mioyo ya watu. Watanzania wangapi wenye uwezo wa kujenga nyumba in 3 years kama sio hao mawaziri na vigogo wengine serikalini? Acha awakera watu ili atakaponyang'anywa uwaziri watu wasilalamike!
🤣
 
Mzee unamtukana boss wako lakini
 
Mbunge wa Ubungo.

How time Flies.

Maandishi huwa yanaishi.
 
Huyu Magufuli ni kanyaboya. Kama kawaida anatafuta sifa. Wenzake wamemuingiza mkenge. Wamemuacha afanye mambo hayo ya kunyanganya watu viwanja ili wananchi wamchukie na atoke katika mioyo ya watu. Watanzania wangapi wenye uwezo wa kujenga nyumba in 3 years kama sio hao mawaziri na vigogo wengine serikalini? Acha awakera watu ili atakaponyang'anywa uwaziri watu wasilalamike!
Kweli maandishi yanaishi. Ogopa Mungu na Teknolojia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli ndiye waandishi wabongo wanapaswa kumwita kiboko! Perfomance yake inaonekana na ilijidhihirisha akiwa ujenzi,waziri aliyekuwa na data zote za barabara,fedha za kuzijenga,etc. ilifikia tz tukawa model kwa nchi nyingine kuja kuiga mafanikio ya design and build.Tatizo kulikuwa na uvunjaji wa sheria sana watu tuka normalize disorders hivyo magufuli kuleta order ilibidi ije bomoa bomoa,magari ya serikali yaheshimiwe,uzito wa magari usiharibu barabara,etc.Yote haya yaligusa masilahi ya vigogo na ndo hizo propaganda za kumchafua!Nyumba aliuza kwa kuwa ilikuwa sera ya cabinet yote including jk na pia shinikizo la wb. yeye akawa mtekelezaji,lakini pia aliweza kujenga nyuma zingine huko dom na dar,which makes sense.
Rationale ya kunyang'anya watu viwanja ndo tunapaswa kuijua na ni vizuri mwanakijiji amtafute tujue.Kama sikosei nia yake ni kupunguza rushwa maana maafisa ardhi wamehodhi viwanja kibao pasipo nia ya kujenga but just to raise the demand na kuviuza baadae kwa bei kubwa tena mara mbili mbili.
Huyo el ana perfomance background yoyote ya kujivunia kuliko magufuli? Mbona el dikteta mzuri sana kwa control media na wabunge,leave alone kuwa ni corrupt? Magufuli would fit as a pm kuleta discipline na high perfomance maana wabongo tuko wazembe na watu wa maneno mengi pasipo vitendo,bla blah....
Hebu tuone vision ya magufuli kuunganisha tz kwa lami 2007 na daraja la kigamboni kama itakuwa reality!
Long live Pombe wa Magufuli!
Imekua reality......long live magufuri
 
Back
Top Bottom