Waziri Kivuli wa Kazi na Ajira kutoka kambi ya upinzani ameweka wazi kuwa sheria ya marekebisho haikuwemo katika mswaada iletwa kinyemela na ni wabunge 30 tu waliochangia hoja ya mabadiriko lakini katika mswaada haikuwepo!
Waziri Kivuli wa Kazi na Ajira kutoka kambi ya upinzani ameweka wazi kuwa sheria ya marekebisho haikuwemo katika mswaada iletwa kinyemela na ni wabunge 30 tu waliochangia hoja ya mabadiriko lakini katika mswaada haikuwepo!
Pole mkuu hii ilikuwa ni taarifa fupi kuhusu walivyo chomekea mswaada ila kama unataka kujua kilicho semwa kuna mchangiaaji.. Tumaini Makene kaweka taarifa ya Mheshimiwa aliyoisoma pale bungeni.Hiyo ndio nini? Jamani sio kila mtu yuko Nyumbani na kuelewa kinachoendelea; JAMII FORUMS pia ina wanachama
Duniani kote; Sasa kama mkizungumzia habari mistari Miwili sisi wengine hatujui hatuna REDIO Masaa tofauti; Hayo
Marekebisho hatujui ni ya nini... ndio Maana tunapenda habari yote... AU KUNA UBAGUZI???[/COLOR]
kuna haja ya kurejea hansard za kikao hicho cha bunge ili tujiridhishe hasa ilikuwaje. lakini kwa vyovyote iwavyo hawa wazee wa ndiyooooo!!!! lazima kwenye hili walihusika kutaka kutuingiza mkenge kama kawaida yao. walishatufanyia kitu mbaya sana kwenye mafuta ya taa na bahati mbaya sana lilipita. ila nashukuru namna wafanyakazi walivyojipanga kwenye hili mafao. napata matumaini mapya kwamba watanzania wengi tuliodhulumiwa kwa muda mrefu sasa mwishowe tumeshituka. hakika serikali ya ccm wamejipanga kutudhulumu hata kwa kidogo tunachokipata kwa kufanya kazi katika mazingira hatarishi kwa afya zetu.