Waziri Kawambwa ashindwa kujieleza juu ya Mgomo wa Walimu

Kwa kweli jamaa nilimuona jana kwenye press conference, naona kama ana tatizo la kuongea kwenye public..alishindwa kuongea kabisa.. yaani kama kuna kitu kinamzuia kuongea sawa sawa.

Hiyo ni dalili ya mtu muongo, hii ni kutokana na kuwa alichokuwa anaongea ni uongo, hivyo mantiki haiwezi kutiririka, si unakumbuka hata Kova alivyokuwa anatoa taarifa za kukamatwa mtesaji wa Ulimboka? Mungu atazidi kuwaumbua tu. Kwa sasa mgomo unasambaa kama moto wa nyika nchi nzima
 
Acha kabisa bwana- Hiki ni kichwa balaa- Sasa kama hamuelewi ndiyo msauri mkuu wa JK. JK anamwamini kwa sababu ni wa kwetu na ana PhD ya kusomea.
 
Back
Top Bottom