Waziri Kawambwa ashindwa kujieleza juu ya Mgomo wa Walimu

Ameulizwa Pinda mbona alisema madeni yote yamelipwa?
Anasema akumskia..ila amekubali madeni yapo.
 
Hao ndo jk anapenda wawe mawaziri aweze kuwa outshine na yeye aonekana mtendaji mzuri kuliko wao
 
Kama kuna waziri incompetent kabisa ni Kawambwa, lakini ni unajua ni wa kwetu Bagamoyo?
 
Ameulizwa tofauti ya mishahara kati ya walimu na kada nyingine,ye anaona iko sawa??
Anajibu:wanaunda tume ya kutathmini iyo kitu eti awezi kujibu ilo sababu sio mtaalamu wa tathmini..
 
Hao ndo jk anapenda wawe mawaziri aweze kuwa outshine na yeye aonekana mtendaji mzuri kuliko wao

Kwa kweli jamaa nilimuona jana kwenye press conference, naona kama ana tatizo la kuongea kwenye public..alishindwa kuongea kabisa.. yaani kama kuna kitu kinamzuia kuongea sawa sawa.
 
Aisee kuna mwalimu kapiga anasema tangu 2003 ajapandishwa daraja alianza anapokea laki tatu hadi leo ajapandisgiwa mshahara anapokea huo huo..anamjibu aende halmashauri watampandishia daraja,wizara haiwezi kumpandishia..anatia huruma sana.
 
nilisema kawambwa ni kilaza balaaaa!sijui hata kampeni zake alionges nini??? au ndo pesa iliwaninua wananchi wa jimbo lake,maana tunapenda kulalamika wakati wa kampeni tupo tayari kusalit utu wetu sababu ya pesa tunapata vilaza kama hili jamaa!halijui kujieleza kubwa zima,kuna yule naibu waziri wa afya ni muongo balaa,kawambwa nenda kachukue koz
 
Sasa mbona ana ongelea jambo ambalo liko mahakamani? Hawezi akawa anaingilia uhuru wa mahakama.
 
Kwa kweli jamaa nilimuona jana kwenye press conference, naona kama ana tatizo la kuongea kwenye public..alishindwa kuongea kabisa.. yaani kama kuna kitu kinamzuia kuongea sawa sawa.

kila baada ya maneno matano utasikia 'nanii'

emekonkludi kama std seven liva
 
Back
Top Bottom