Ukiwa mwongo basi uwe na kumbukumbu nzuri. Hapo kwenye red!
Ukiwa mwongo basi uwe na kumbukumbu nzuri. Hapo kwenye red!
Ukiwa mwongo basi uwe na kumbukumbu nzuri. Hapo kwenye red!
Nairoberry, I mean ni sindano ya gharama kubwa kiasi
kwanini unamuuliza huyo jamaa hilo swali mkuu FJM
:focus:
pole sana mwanadafada kwa mkasa huo...
Huyo dada kiboko! Mwache ajilie laying allowance bwanaPoint yako nzuri sana, at the same time sijui kama umeshafika Dodoma wakati wa vikao vya bunge. Ugeni unaojazana hapo licha ya wabunge na entourage zao, huwa kuna ugeni wa kina dada wa kila aina na kila umbo na kila fani kutokea sehemu mbali mbali za Tanzania na Afrika mashariki. Ni vyema hawa kina dada wanaozuru Dodoma wakati wa vikao vya bunge wakajuwa wateja wao wakoje, Ni namna moja ya kuwajibika Kitaifa, wapime na majibu yawekwe wazi.
Kuna dada mmoja mzuri wa kusifika mtaani kwetu, amepewa jina "Mheshimiwa" maana ikifika wakati wa vikao vya bunge ni lazima awe Dodoma.
\Huyo dada kiboko! Mwache ajilie laying allowance bwana
Kuhusu uwajibikaji wao nadhani itakua ni namna ya ku-encourage wale wabunge HIV negativve kuendelea na hizo starehe zao. Kuna mengi zaidi ya HIV ambayo yanatakiwa kukomeshwa katika tabia hiyo, je hayo yote yawekwe hadharani? ukifatilia hiyo reasoning maana yake hata bank account yao waweke na tu-compare na hali yao ya maisha. Ikiwa they use household money to pay the laying allowances wawajibike?
What they do with girls ni private life. all we can do is to remind both sides that when it comes to HIV using a condom is a must, being loyal is good and abstinence even better and safer.
Mara Mkenya mara mtanzania
wacha nikueleze dadangu hivyo unavyosema shindano si ulaya pekee hata hapa tz ken na nchi zingine inapatikana. Lakini hazipewi ovyo ovyo lazima uwe umebakwa au unayo sababu kuu isiyotokana na tabia duni ili kudungwa iyo shindano katika hospitali za umma bure . kama we mwenyewe hukutumia kinga itabidi uinunue kwa gharama kubwa sana na niwachache wawezao. Kwa ivyo dada hapa mjini tanga watu wanaweka imani yao kwa viroba vilivyo gangwa
\
Kwa hili nakubaliana na wewe 100% lakini imagine mtu ambae tunaamini kuwa ni kiongozi wa upinzani na anaefikiriwa na wachache wa upinzani kuwa anaweza kuwa Rais, na amabe anadhaniwa atakuwa mfano wa kuigwa anatuhuma nzito nzito za kuzaa nje ya ndoa, kuishi na mwanamke ambae ni mke wa mtu na kuzaa nae. Sasa nani wa kuwaokoa Watanzania ikiwa hao tunaowatazamia wawe wapinzani (watchdogs) wa Serikali wao wenyewe hawana maadili hata chembe.
kwani una shida gani?