"Waziri kaniambukiza miwaya!!!"...Mwananafunzi wa chuo kikuu ajuta!

NI wengi hata kwenye ODM wako kwenye msafara WA kuiaga dunia. Kwa mfano Anyang nyongo NA wenziwe kama mkereketwa wa chama cha URP Sirus Jirongo.
Kabaridi,

Now that is out cold bra!...si I thought Anyang Nyongo ana Cancer ama that's meant to be the cover up?
God forbid!...Kisha Jirongo niaje tena?...Pesa ya Y2K haikusaidia huyu mtu ama that money is what has
gotten him that baggage?

Kazi ipo aisee!
 
Last edited by a moderator:
I feel sorry for this lady though it does not remove the fact that she is to blame. She was neither raped nor was she a little girl when she was approached. She should have asked herself a lot of questions before engaging in a relationship with a government minister.

well said...
 
Subhanalah, huyu mtwana kamuambukiza ukimwi Shiro, kwa makusudi. Minister Kariuki hukmu yake ni attempted murder. Hasa ukizingatia upatikanaji wa tiba na gharama zake. Huyu Kariuki anatakiwa aondolewe Madarakani.
Kinashangaza ni kua huyu binti anasubiri mpaka 2013 baada ya election ili amripoti. Waandishi wa habari wana responsibility ya kumripoti bila ruhusa ya huyu Elizabeth. Huyu Msichana akili yake sio nzuri, anatakiwa atafute wakili. Huyu cabinet minister anatakiwa amlipe kiftia machozi na amlipie insurance. Ukisikia Fedha Fedheha ndio hii.
 
Dawa pekee kwa waathirika wa ukimwi ni hivi vitu vitatu..UPENDO,UWEPO NA HESHIMA dawa za ARV Na mambo ya lishe ni ziada tu maana havileti furaha ya kweli kwa waathirika
 
Kabaridi,

Now that is out cold bra!...si I thought Anyang Nyongo ana Cancer ama that's meant to be the cover up?
God forbid!...Kisha Jirongo niaje tena?...Pesa ya Y2K haikusaidia huyu mtu ama that money is what has
gotten him that baggage?

Kazi ipo aisee!
Ab-Titchaz, unajua wengi wa hawa viongozi wetu wanaugua kwa mfano, Kimunya, Anyang, nyongo, Kabogo wa juja, Sirus Jirongo na Fulusi za YFK92 hawa ni baadhi ya viongozi wachache ambao wako katika msafara.

Lakini tatizo la huyu binti ni la kusikitisha na anapaswa maombezi. Ila kwa malilio yake itasemekana alijaribu kuumpiga busu nyuki. Alijikuta mashakani wakati alipojaribu kuchukua njia ya mkato halafu kajiweka katika msafara naye. Lakini all hope is not lost pengine maisha yake itabadilika na kunyooka.
 
There is no shortcut in life, the broad probably thought she was screwing with the minister (F*cking her way up the political ladder), what surprised her is the fact that all along the minister was the one messing with her. I think there is no need to divulge the minister's name, what is done is done, they are all guilty in my book, one for gold digging and the other for intentionally infecting an ''innocent'' person with an untreatable disease. Gold digging should be a crime, as intentionally infecting someone with HIV is. alafu najua pia huyo msichana kasambaza kwa kijana wake hapo chuoni, its a vicious cycle am telling you.
 
We ndugu yangu, kaka yangu Zomba unafikiri yupi atakuwa tayari kupima mmmh!! Nadhani hata wewe utakimbia tu!

Wabunge wetu wote wapimwe na majibu yawekwe hadharani.

Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Back
Top Bottom