Waziri Kalemani: Ni marufuku wananchi kulipia nguzo

Tanzania wizi mtupu mita na nguzo za tanesco mteja ananunua bado umeme unanunua
...ndio hapo sasa si bora ukanunue sola...nitafurahi kama tamko la waziri litafanyiwa kazi na mameneja wa mikoa na wilaya nchi nzima...kwanza watakua wamechochea ukuaji wa uchumi kwa halaka dada zetu na mama zetu watauza juisi au barafu mitaani kwao vijana watafungua saloon na kuuza maji baridi nk. Tutapunguza vibaka na machangudoa kwa kiasi kikubwa
 
Mh: waziri angeweka vizuri jambo ilo kama ni nchi nzima wote tufaidike na huduma iyo maana nimepeleka form tanesco mwanza yakuomba kuunganishiwa umeme tokea 2016 mpaka leo sijapata huduma..mara wakija kupima waseme nguzo 3 mwaka jana wamekuja kupima tena wanasema nguzo mbili kwaiyo nikalipie laki 7. Unajiuliza nimenunua nimenunua vifaa vyote vya wayarngi bado tena natoa laki saba ya kazi gani?..je izo nguzo nikinunua inakua mali yangu au nimaendeleo ya mtaa mzima?....kwakweli serikali itizame jambo hilo mnyonge huyu anaetafuta mkate wa kila siku kwa jasho kali akitaka kupata huduma ya umeme mpaka akamuliwe namna iyo jamani..mbona wizara ya maji wameweza kupitisha mabomba madogo ya maji mpaka uku milimani bila kutwambia tutoe pesa!?....alafu wapimaji wa tanesco kila akija kukupimia lazima akuombe maji bila hivyo ndo kama mimi form imekaa miaka 3 inaenda kuandikwa asubili jirani avute umeme kwanza
Sasa waziri anatoa maelekezo wewe bado unalalamika, au unataka kulipia?
 
Sasa waziri anatoa maelekezo wewe bado unalalamika, au unataka kulipia?
...ningekua na pesa ya kulipia ningelipa tokea 2016 nilipomaliza kujaza form ninalalamika kwasababu miaka 3 nateseka kisa umeme kwa shirika la umma linalopewa ruzuku kwa pesa zasisi wanyonge bado wangeleta huduma hapo mtaani wengi wangeunganishiwa na serikali ingepata mapato kupitia ununuzi wa luku..kesho nakwenda tanesco mwanza igogo kufatilia form yangu na kuona kama wanatekeleza agizo la waziri..hii nchi ni yetu sote tunapaswa kufaidi rasilimali za nchi yetu bila matabaka kama yakuuziana nguzo na mita wakati bado nitalipa kodi nikinunua luku.
 
Kijiji kipi na namba yako ya simu tafadhali
Nashukuru kwa kuuliza, nyie nendeni huko vijijini mkutane na malalamiko ya wananchi yaani watu wamekata tamaa ya kupata umeme angalau REA wanajitahidi. Piteni huko vijijini mtaona ni nyumba ngapi zinastaili kuwa na umeme halafu hazina kisha watawapa sababau kwa nini hawana umeme. Lengo la waziri ni kuliimarisha shirika wala hakufanya vibaya kuwaeleza hivyo, maana ni kweli alilolisema lipo.
 
...ningekua na pesa ya kulipia ningelipa tokea 2016 nilipomaliza kujaza form ninalalamika kwasababu miaka 3 nateseka kisa umeme kwa shirika la umma linalopewa ruzuku kwa pesa zasisi wanyonge bado wangeleta huduma hapo mtaani wengi wangeunganishiwa na serikali ingepata mapato kupitia ununuzi wa luku..kesho nakwenda tanesco mwanza igogo kufatilia form yangu na kuona kama wanatekeleza agizo la waziri..hii nchi ni yetu sote tunapaswa kufaidi rasilimali za nchi yetu bila matabaka kama yakuuziana nguzo na mita wakati bado nitalipa kodi nikinunua luku.
Ni kweli mkuu mimi enyewe niletegemea tanesco wawaungenishie umeme watu kwa kasi sana ili waongeze mapato maradufu kupitia uuzaji wa luku, lakini kiukweli kasi yao hairizishi, wewe angalia asilimia kubwa ya wachangiaji hapa wanawalalamikia.

Nguzo zenyewe kama sikosei zinatoka mkoa wa Iringa lakini tunauziwa tena kwa bei ghali utadhani zinatoka Ulaya. Ili azma ya Mh. Raisi ya Tanzania ya viwanda itimie kasi ya tanesco inabidi iwe kubwa sana la sivyo mambo yatachelewa.
 
....Niko tanesco mda huu nimefatilia huduma baada ya tamko LA waziri tusiuziwe nguzo najibiwa kwamba hawana taarifa iyo labda niende wizarani nikaulize vizuri!! hii ndio tatizo la watumishi wa umma wa nchi hii yaani waziri kaongea mchana kweupe akatoa maagizo nchi nzima alafu mtumishi wa wizara yake hana taarifa!! ananiambia mie mwananchi nitoke mwanza mpaka dar wizarani nikaulize ipo haja yakufukuza watumishi wanamna hii bora tuanze upya wanaichonganisha serikali na wananchi wake kwa majibu mabovu
 
...ningekua na pesa ya kulipia ningelipa tokea 2016 nilipomaliza kujaza form ninalalamika kwasababu miaka 3 nateseka kisa umeme kwa shirika la umma linalopewa ruzuku kwa pesa zasisi wanyonge bado wangeleta huduma hapo mtaani wengi wangeunganishiwa na serikali ingepata mapato kupitia ununuzi wa luku..kesho nakwenda tanesco mwanza igogo kufatilia form yangu na kuona kama wanatekeleza agizo la waziri..hii nchi ni yetu sote tunapaswa kufaidi rasilimali za nchi yetu bila matabaka kama yakuuziana nguzo na mita wakati bado nitalipa kodi nikinunua luku.
Nakubaliana na wewe, usiende kinyonge sasa.
 
Eneo gani

Wilaya

Namba ya simu

Umelipa lini
Nyie Tanesco msijifanye leo hamjui mnayoyafanya kisa waziri katoa tamko tutawaumbua sana, siyo nguzo tu mpaka wenye viwanda walishindwa kupata umeme hadi wanunue wenyewe transfoma hadi rais alipoingilia kati sasa sijui mnabisha nini?
 
Back
Top Bottom