Michael lusato
Member
- May 25, 2019
- 60
- 171
...ndio hapo sasa si bora ukanunue sola...nitafurahi kama tamko la waziri litafanyiwa kazi na mameneja wa mikoa na wilaya nchi nzima...kwanza watakua wamechochea ukuaji wa uchumi kwa halaka dada zetu na mama zetu watauza juisi au barafu mitaani kwao vijana watafungua saloon na kuuza maji baridi nk. Tutapunguza vibaka na machangudoa kwa kiasi kikubwaTanzania wizi mtupu mita na nguzo za tanesco mteja ananunua bado umeme unanunua