Waziri Kairuki baada ya uhakiki watumishi hewa amesema litafata zoezi la kubadili muundo wa utumishi

Ajira mpya anazitoa Ngosha mwenyewe. Yeye pekee ndio anaajiri kwa sasa.
Kama unataka Ngosha akuone, basi hakikisha wewe ni Kada wa kijani, Anza kumsifia(Na hakikisha anasikia unapomsifia), Jifanye mpiga debe wa hapa kazi tu, Mpenyezee "Ubuyu" ili akatumbue.mahali.

Wote waliofuata hayo masharti sasa hivi wameshaajiriwa, na wale ambao bado, basi muda sio mrefu wataajiriwa.
Ajira serikalini zipo tu, tena zipo tele. Nikujipanga tu.
 
Dalili ya ajira hakuna. Vijana tafuteni shughuli nyingine mfanye. Hakuna atakayesema kweli kwamba hakuna pesa.
 
Back
Top Bottom