Waziri gani shujaa awe wa kwanza kutumia japo vitara?

Mkuu we unawajua magamba au una wasikia tu? Huko hakunaga msamiati wa ushujaa wala uzalendo, huko ni ufisadi kwa kwenda mbele, yaani fisadi hasa apande vitara, unacheza wewe.
 
kweli naunga mkono hoja watumie landrover 109 new model a.k.a mandolin coz zinamudu njia zote mijini vijijini mbugani na zina spidi kubwa kama v8 Mh Godbles Lema anayo yake pale Arusha anaweza kutujuza how much does t cost

Bora hizo Hizo za wabunge maana ni zao au wamekopwa. lakini hizi za mawaziri ni za serikali.Sasa Gari inakula 200lst kwa wiki kiongozi mwenye maamuzi na uwezo wa kubadilisha gari hajishangai kutumia lita hizo kutoka Masaki kwenda posta.

Bora watumie L. nyumbu hata kama linakula lita 300 tujue wanatumia gari zenye technological input ya tanzania.

Mkuu we unawajua magamba au una wasikia tu? Huko hakunaga msamiati wa ushujaa wala uzalendo, huko ni ufisadi kwa kwenda mbele, yaani fisadi hasa apande vitara, unacheza wewe.

Kina zito,John Mnyika,HMdee na CDM na CUF na Kina [MENTION]HKingwalla[/MENTION] washikie bango hili. Wakiangalia kwenye hansard za bunge tayari Mramba akiwa waziri wa fedha alishasema Lilipo kwenye rekodi.Sema ni utekelezaji tu.

Hata Pale ikulu kuna miaka maofisa kadhaa walianza kutumia vitara.Lakini baadae sijui zikapotelea wapi. Au inaweekana kama si msaada si ruhusa kwa presidential appointee kutumia Vitara RAv 4 au Saloon car
 
Zipo taarifa kuwa ndani ya miezi miwili ijayo ma-VX hayatakiwi kuonekana katika yadi ya makao makuu ya wizara ya Nishati na Madini. Tusubiri tuone kama kweli haya yatatendeka.
 
Back
Top Bottom