Waziri gani shujaa awe wa kwanza kutumia japo vitara?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Yes nimetumia neno "shujaa" sababu inaonekana ni uamuzi mgumu mno. Nadhani atayekuwa wa kwanza tutampa ushujaa japo

Mara nyingi tunayaona haya ma VX na hawa vigogo wakiwa ndani from masaki to posta. Hivi tujiulize/tuwaulize
  • Hakuna Aliyewai kufikiria anaweza kuokoa shilingi ngapi za mafuta ya uendeshaji kwa mwaka kama angetumia vitara.au hata saloon.Au hakuna anayejali? AU VX ndio uafiri stanrdard iiyopitishwa na TBS/ikulu kuwa ndio usafiri pekee unaofaa kwa vigogo....
  • Ufanisi/Tija(effeciency/Efectiveness) ya hawa vigogo utapungua wakitimua gari ndogo. Je hata waziri wa mazingira haoni aibu kutumia VX (gari zenye carbon footprint kubwa).Kwa wenzetu waziri wa mzingira kutumia VX ingekuwa kashfa kubwa zaidi.......
  • kwa nini kasi ya barabara za lami zinazojengwa haiendani na kasi kupungua kwa VX za seriali na kuongezeka kwa saloon kama usafiri wa vigogo. Si wakienda mikoani kikazi wanapaaaa.......

Karibu wadau tujadili vyombo vya usafiri vya vinavyotumiwa na vigogo.
 
Mawaziri mashujaa wanaoweza kutumia usafiri wa VITARA badala ya VX mimi ninaona ni MAWAZIRI VIVULI wa bunge la JMT. Therefore the onus is on us (Wananchi) tuwafanye wawe mawaziri KWELI ili serikali ianze kutumia VITARA kwa viongozi wake.

Kenya wameweza lakini sisi Tanzania hatuwezi kuthubuti, tumeshindwa, hatuwezi kusonga mbele under CCM leadership.
 
Unajua wakibanwa wengi wanaweza kusema wao magari wameyakuta au ununuzi ulifuata taraibu za tender. Lakini ukweli waziri anayetumia VX ya umma bia kuona kasoro kutoka masaki hata mbezi kwenda Posta kwa siku 365 kwa mwaka hajali tija wala ufanisi.
 
Ukweli ni kwamba baada tu ya serikali ya awamu ya kwanza, hatujawahi tena kuwa na serikali iliyoundwa na wazalendo wenye kujali masilahi ya wananchi. Kinachoendelea ni; "sasa ni zamu yetu tufaidi".
 
Mawaziri mashujaa wanaoweza kutumia usafiri wa VITARA badala ya VX mimi ninaona ni MAWAZIRI VIVULI wa bunge la JMT. Therefore the onus is on us (Wananchi) tuwafanye wawe mawaziri KWELI ili serikali ianze kutumia VITARA kwa viongozi wake.

Kenya wameweza lakini sisi Tanzania hatuwezi kuthubuti, tumeshindwa, hatuwezi kusonga mbele under CCM leadership.

Kiongozi wa mawaziri vivuri anatumia gari gani?
 
Kwa nini wajiumiuze migongo kwenye vitara kwenye shamba la bibi?
wahonge kupata ubunge na uwaziri then wateseke?
Sio Tanzania labda Rwanda.
Kwani lile VX alilokataa mtoto wa mkulima liko wapi?
Wajanja si waliliwahi?
 
Mtoto wa mkulima naye!, tulizani baada ya kulikataa VX, kungefuatia maagizo juu ya aina ya magari anayotaka serikali itumie ili kuokoa fedha za walipa kodi!! kumbe hakumaanisha lolote!!!!
 
Haya Itapende so called Kijana mwenzetu January M na mawaziriwengine vijana wawe wa kwanza kuonyesha mfano huu.Yes unaweza Kutumia resouces ndogo kufanya mambo makubwa. Inategemea na ubunifu na nia na maamuzi

Sayansi na tenolojia huko nchizilizoendelea sasa wananza kutumia magari ya umeme . Sisi bado tumekomalia VX ingawa mileagez a rami zimeongezeka.........
 
Niko kisiwani patmo naona kama Kimbunga cha magari ya serikali kikivuma. Nasubiri nione
 
Niko kisiwani patmo naona kama Kimbunga cha magari ya serikali kikivuma. Nasubiri nione

Mkuu wangu Kimbunga sikuwezi upo Patmos Island lazima utakuwa upo Greek restaurants unapata Greek dishes Mousaka, Magherio, Pastitio.
 
Last edited by a moderator:
bora wangekuwa wanatumia Landrover nyumbu tungesema kama ni mafuta basi ni uzalendo wa kutuumia gari za Tanzania haukwepeki .
 
Shida hayo VX walipoanza kuyatumia enzi zile za mzee ruksa yalipewa jina "shangingi" sasa kweli wanaume na wanawake wangapi watavumilia seducing power ya sex worker, hapo mwanangu ngoma imelala
 
Shida hayo VX walipoanza kuyatumia enzi zile za mzee ruksa yalipewa jina "shangingi" sasa kweli wanaume na wanawake wangapi watavumilia seducing power ya sex worker, hapo mwanangu ngoma imelala

Au wanaogpa kutumia Kitchen party(VITARA RAV4). As long as gari inachoma mafuta kwa pesa ya umma then aina ya gari sio issue.
 
kweli naunga mkono hoja watumie landrover 109 new model a.k.a mandolin coz zinamudu njia zote mijini vijijini mbugani na zina spidi kubwa kama v8 Mh Godbles Lema anayo yake pale Arusha anaweza kutujuza how much does t cost
 
Mimi nina uhakika Waziri mkuu kama sio protocol anaweza kabisa kupanda Vitara bila ya kujisikia vibaya, mwingine ni Mh.Magufuli, Mh. Dr. Mwakyembe, Mh. Hawa Ghasia, Mh.Prof. TIBA, Mh.Prof.Maghembe wa mwisho ni Mh.J.Kikwete raisi wa JMT, kwa mawazo yangu naona hawa hawana makuu.
 
Back
Top Bottom