Waziri Bashungwa pamoja na kazi nzuri unayoifanya kuna baadhi ya Watumishi wako wanakuharibia

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
783
525
Mh. Innocent Bashungwa wewe ni Mtu makini sana na ndiyo maana kila wizara unayopelekwa unafanya vizuri sana. hongera sana, lakini kuna watu wanakuharibia kazi, tarehe 11 February 2024 mtumishi wako wa office ya Tanroad Njombe kwa mbwembwe tu na akiwa mlevi kazini alimshambulia mkandalasi kwa ngumi na mateke mmoja wa wachina wanaojenga mradi wako wa Njombe Itoni- Lusitu ludewa pachage 1 km50 kwa madai kwamba wanalala na diveation hazipitiki, huku akiwa kazini akirekebisha barabara hizo, Mazingira ya Njombe kipindi hiki cha Mvua kubwana za kila siku huwezi kumlaumu mtu yeyote , mtu wako huyu ( mhandisi wa kujitolea ambaye hata hajapata ajira akipata ajira itakuwaje) nasikia anaitwa Petro anaweza kuleta sintofahamu katika mahusiano yetu na Uchina ukizingatia zaidi ya asilimia 60%ya miradi mikubwa inajengwa na makampuni ya kichina.
 
Back
Top Bottom