Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 38,399
- 47,810
Hauna uhakika kama msaada haujaombwa na hizo shule, ni uhakika Wamarekani hawajatulazimisha kuukubali huo mchele.Mimi sijui mkuu.
Hoja yangu ni iko pale pale kwamba msaada ambao haujaombwa basi ni hiyari kuukubali ama kuukataa
Hata leo hii mkisema hamuutaki hawatakosa nchi nyingine nyingine za kuupeleka.