Wazee wenzangu wa Martial Arts Special Thread

kung fu ndo baba ya martial arts zote,,

Kuna mwamba anakwambia za maonyesho kisa zile zana za mapambano zinapambwa na vitambaa...nimemuacha maana anachukulia kung fu ni za kwenye picha mwambie aende china kuona watu wanavyopractise hiyo kitu hasa kwenye zile temples za monks
 
Mkuuuu vip..,..

Karate,
Kombati karate,
Wu shu,
Win chan,,,,...

Tai shaolin

Wew unacheza mchezo upi??
 
Wapi wanafundisha Krav Maga hapa bongo?
Krav Maga anapiga kombati karate.

Vyuo vya kijeshi ufundisha kama sehem ya mafunzo.

Jkt ( kwa kiwango)
Tpdf ( msata, orjol etc) advanc

Bt kubwa zaid ni Sanga sanga Komandoooo( more advnc)

They train to eliminate the chaleng not ku defend
 
Kuna mwamba anakwambia za maonyesho kisa zile zana za mapambano zinapambwa na vitambaa...nimemuacha maana anachukulia kung fu ni za kwenye picha mwambie aende china kuona watu wanavyopractise hiyo kitu hasa kwenye zile temples za monks
Unakosea kumnukuu mtu katikati bila kwenda kwe chanzo ama swali lililozaa hili jibu,nina hofu hata na uelewa wako juu ya karate,yank ni ww siyo karateka kabisa umedandia gari na mapenzi yalokuzidi juu ya unachodhani bora,
 
Nlilogundua humu watu wengi wanajua kutaja majina ya michezo tu,na mingi ni ya kuskia mtaani tu,makarateka halisi humu ni wachache sana,humu wngi ni wana sinema na si makarateka ndo maana utaskia watu wanawataja waigiza snema kana kwamba wao ndo wajuuuuzi wakati kuna watu hawachezi snema lkn ni waalimu mu wa waalimu wa karate,snema ni maigizo hata yellow belt anaweza kukarilishwa aigize km star
 
Unakosea kumnukuu mtu katikati bila kwenda kwe chanzo ama swali lililozaa hili jibu,nina hofu hata na uelewa wako juu ya karate,yank ni ww siyo karateka kabisa umedandia gari na mapenzi yalokuzidi juu ya unachodhani bora,

Hivi mimi na wewe nani mwenye mahaba na anachoona bora maana umeshikilia bango karate kila sehemu...ok wewe ndio mwenye uelewa pekee na michezo ya mapigano endelea kufurahisha thread mkuu
 
Rudi nyuma kwe historian ya karate uone km unalosema ni sahihi
Hata ukiangalia Tom Yum Goong zile teknik za kuvunja alizokuwa anatumia pale mwishoni mwa movie..utajua kuwa huyo mtu anajua,sio maigizo..ANAJUA.Ana mkanda mweusi kwenye Tai kwondo,Judo na Aikido.Give the man his respect
 
Mkuu sidharau uwezo wa huyu mtu,jamaa ni karateka wa kiwango cha juu sana,wala sidharau michezo mingine maana yote ni kwa ulinzi na inasaidia ikitumika sahihi,nnachopinga ni kudai eti shotokan karate ni mchezo wa maonesho,shotokan iwe ya shoo?,wakati ni moja ya michezo migumu na inayotaka uvumilivu na ugumu wa juu kabisa,sifa ya mcheza shotokan ni ununda afu mtu anasema shotokan ni ya show!!!
 
Mimi sijawahi zungumzia Shotokan.Other did..
 
Yan haya madojo yetu yakitaa kila mtu nalake nmejifunza michezo kibao, mara taikwondo, gujuruu, mara taichii hata cjui niwe kundi gani
 
Watu wanachanganya kuhusu hizi martial arts, ieleweke tu kuwa kila aina ya martial arts ni nzuri ikiwa tu mhusika atafuata na kuifanya kuwa sehemu ya maisha yake.
Pia ni vema kufahamu tu kuwa kuna ngumi/martial arts za kawaida ambazo raia wote wanaruksa ya kujifunza au kucheza kama self defense na sports mfano wa hizo ni
1.karate
2.taekwondo
3 . kick boxing
4.judo
N.k.
Hizo ni baadhi tu ya sport martial arts kwa wote japo zipo nyingi,
Lakini kuna nyingine ni kwa ajili ya mapigano ya kijeshi (kombat martial arts) mfano ni:-
1 . kombat karate.
2. Judo kombat
3. Krav maga n.k
Hizi ni za kupiga na kuua na haziruhusiwi kufundishwa uraiani bali ni kwa maaskari tu,
Mfano TPDF (hasa commando unit) iko advanced zaidi kwa hapa Tanzania, pia polisi baadhi hupewa mafunzo hayo hasa wale police special forces (red Barret) na si wote,
NB: ujuzi wa ngumi sio tu kujifunza bali pia utayari wa mhusika na utulivu kifkra, unaweza ukafuzu vizuri lakini bila ujasiri na utulivu utapigika.
 
shotokan ni mchezo wa kitozi sana.. asikwambie mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom