Wazee wenzangu wa Martial Arts Special Thread

Jeshini mara nyingi zinazotawala ni taekwondo, judo combat, kombat karate, pia kwa sasa krav maga,
Hizo shotokan karate ni kwaajili ya sports not for military combat!!
Ndo maana nasema labda unachanganya majina,shotokan inatumia nguvu sana,guljoryu na kungfu ndo za maonesho,hata tae kwon do
 
Mkuu kama kung fu zingekuwa za maonyesho basi kwenye temples huko uchina wasingefundisha
Refer kata na bunkai za kung fu za kucheza na mapanga cheni na fimbo zilizorembeshwa vitambaa,ref.stance za kung fu zilivo za kuremba,kokutsu dach,
Zenkuz dach ya kung fu na taekwon do na goljuryu lazima urembe sana,iwe ndefu na kiuno kibonyee ndani,wakati zekuz dach ya shotokan ni fupi sn(ftng zenkuz)
The same to kokutsu dach ya shotokan ni fupi sn,hakuna kuremba,kung fu na tae kwon do,lazima uwe Mzee wa sarakasi ili kuvutia shows,tena km goljuryu inaitwa soft karate,maana ilinzishwa maalumu kwa akina Dada baada ya shotokan kuwa ngumu kwao,
 
Wale wote wanaocheza Martial Arts Tanzania hapa njooni tubadilishane ujuzi

kuanzia wale wa

Japanese Shotokan (JAPAN)
SF-anniversary-21.jpg

Aikido (JAPAN)
Aikido-Allen-TX.jpg

Kick Boxing

kickboxing1.png

Tae Kwo ndo (KOREA)
Taekwondo.jpg

Muay Thai (THAILAND) HAWA NDIO KINA ONG BAK

muay-thai.jpg

Ninjitsu (JAPAN)

Dennis_King_03.jpg

KungFu (CHINA)

maxresdefault.jpg

systema (RUSSIA)

Russian-Spetsnaz-Hand-to-Hand-Combat-Russian-Systema-32.jpg

Kinomichi (FRANCE)

IMG_0788_X_500px.jpg

Kalaripayattu (INDIA)

IMG_2791.jpg

Tujadili kuhusu michezo ya martia arts kwa Tanzania

ma dojo yaliyopo

makarateka njooni tubadilishane ujuzi na mawazo kupitia hapa

Aise Mkuu kwa dsm wap naeza kupata sehemu nzuri nkajifunze Shotokan? kwa self defence.. nlifundishwa mtaani but nataka proffesional zaid yenye belt
 
Refer kata na bunkai za kung fu za kucheza na mapanga cheni na fimbo zilizorembeshwa vitambaa,ref.stance za kung fu zilivo za kuremba,kokutsu dach,
Zenkuz dach ya kung fu na taekwon do na goljuryu lazima urembe sana,iwe ndefu na kiuno kibonyee ndani,wakati zekuz dach ya shotokan ni fupi sn(ftng zenkuz)
The same to kokutsu dach ya shotokan ni fupi sn,hakuna kuremba,kung fu na tae kwon do,lazima uwe Mzee wa sarakasi ili kuvutia shows,tena km goljuryu inaitwa soft karate,maana ilinzishwa maalumu kwa akina Dada baada ya shotokan kuwa ngumu kwao,
Umeongea lugha gani hapa?
 
Kwa kuwa umeshacheza goljoryu. Je kati ya shotokan na goljoryu ni ipi unaona iko poa zaidi?
Goljoryu ni laini sana,pia mnatumia muda mrefu sana kwe stance sahihi na za kuvutia,kwe stance na kata goljoryu inavutia,nakushauri karibu shotokan japo inataka uvumilivu ina mikiki zaidi ya goljuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom