Wazee vibogoyo

Malumbizo

Member
Jan 25, 2012
47
6
Siku moja wazee walikuwa wanakunywa pombe kirabun huku wakisikiliza mahubir kutoka kwenye radio mahubiri yalikuwa kama ifuatavyo: sku ya mwisho walevi pamoja na watenda dhambi ote watalia na kusaga meno. Wale wazee waliposikia kusaga meno waliinuka na kushangilia wakisema sisi tumepona kwa sababu hatuna meno
 
aseeee....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom