Wazazibar kuweni wawazi semeni tu njaa inawasumbua

Status
Not open for further replies.

tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,469
581
Sioni sababu watu kijidai hawataki muungano wakati kikubwa kinachowasumbua ni njaa,watalii wanaoingia znz wanavaa ovyo kuliko kawaida,lakini hawawaongelei wanaongelea wabara eti hawafuniki kichwa
 
Tumia akili wewe aliye kwambia zanzibar kuna njaa nani?. Tuna mambo mengi yakufanya kama Wazalendo ili kuikomboa Tanganyika ambayo bado Haija pata uhuru kutoka kwenye utawala mbaya wa mafisadi wa CCM! Achana na waZanzibar nao wanalo la kusema Kuhusu nchi yao (Zanzibar nchi bwana alaa!).
 
Mod tafadhali sana Huu uzi ni wa kuwakashfu na kuwadhalilisha waZnz. Naomba kwa ihsani yako iondoe ili kulinda maadili na nidhamu ya forum.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom