Wazazi wenye wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Darasa la Saba 2022 tukutane hapa tutiane moyo

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,204
4,211
Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule.

Naombeni tushauriane, kama wewe siyo mhanga wa jambo hili unaweza pita kimya kimya tu maana kwa sasa sihitaji kejeli, nahitaji faraja na ushauri.

Hivi mtoto ataenda private? Je, haiwezi kuwa na athari kwenye mitihani ya form four?

Naomba kuwasilisha.
 
Cheti ya darasa la saba ni kama cheti ya kipaimara tu.. hakina maana yoyote... Peleka mtoto private... Au nenda wizaran wanaweza kukusaidia kumpeleka shule mtoto

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule.

Naombeni tushauriane, kama wewe siyo mhanga wa jambo hili unaweza pita kimya kimya tu maana kwa sasa sihitaji kejeli, nahitaji faraja na ushauri.

Hivi mtoto ataenda private? Je, haiwezi kuwa na athari kwenye mitihani ya form four?

Naomba kuwasilisha.
Ni watu wa Kanda ya Ziwa mlizoea kudanganya.
 
Mtoto kashawishiwa kushiriki uovu, sio rahisi Hawa kujua adhari ya kilichofanyika. Serikali isiwaadhibu watoto Tena Hawa vichanga vilivyoingizwa kwenye makosa na tamaa za waovu wachache.

Wasakwe na kuadhibiwa hao waovu. Nani walifanikisha huo udanganyifu...? Hao washughulikiwe.
 
Back
Top Bottom