Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 2,748
- 1,624
Kwa hiyo utatakiwa ujenge nyumba ya kuishi wewe na mkeo na watoto ,Kisha baadaye watoto nao uwajengee nyumba waishi wao na wake zaoHuu uzi bora zaidi kwa 2024. Wazazi waache kujificha kwenye kichaka cha "elimu ni urithi"... mtoto anatakiwa arithishwe mali na vitega uchumi. Tuache longolongo ya kusema elimu ni urithi. Ubaya ni kwamba siku hizi watoto ndo wanawarithisha wazazi. Mtoto akishapata ajira anajitokeza mshenzi mmoja kwa jina la mzazi na kuanza kutaka mwanae amtunze ikiwemo kumjengea nyumba wakati yeye ndo alitakiwa kumpa nyumba mwanae.
Something is not right 😃