LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 475
- 1,809
Wazazi hawa wameshindwa kabisa kulea watoto wao hasa wa kiume
Unakuta mtoto ameshafikisha umri wa kujitegemea lakini bado anaiehi kwa wazazi wake Tena anajiona ndani pale yeye ni kidume
Kati ya vijana 10 walioachiwa urithi hasa wa mashamba
Ni mmoja tu au wawili ndo walivitumia vizuri
Wanapenda Sana bike kuliko kitu kingine,
Hawezi pita siku bila kusikia tusi hasa kutaja kiungo kile Cha mwanamke,
Vijana wengi ni walevi kuliko wazee,
Na hawana kabisa mpango wa kuoa😎
Pia bado wana ukabila wa chini chini baadhi ya maeneo mengi hasa ya wazawa,
Wana wivu sana, hasa watu wazima,
Ni hayo tu.