Schoolbook
Member
- Aug 31, 2011
- 27
- 5
Unaweza sasa kuzijua shule nyingi zaidi na wasifu wake kupitia wavuti inayoitwa Schoolbook Classic, ambayo imejitolea kukusanya wasifu wa shule zote dunia na kukupa wewe mtanzania na raia wengine, kupata kuzijua shule mbalimbali iliusibabaike unapotafuta shule nzuri kwa mwanao. Pia unaweza kukutana na wasambazaji mbalimbali wa vifaa vya mashule, na utapata kuwajua wote na anuani zao. Zaidi tembelea Schoolbook Classic | Homepage au bofya hapa. Nirahisi kutumia na Bure kabisaa. Jaribu ujionee tofauti leo na uwebarozi wetu duniani kote. Aksante