Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

Na ukitaka umfurahishe mzanzibar basi we muambie umefanana na muarab.. baso roho yake inapaa balaa
Hilo jina mbona Tata?
Nakumbuka siku Kipchoge Keino alipotambulishwa na Kenyatta. Kenyatta Ni mkikuyu na Keino kwa kikikuyu Ni uchi wa mwanamke.
Kenyatta na uhuni wake aliwiwa vigumu kumtangaza shujaa Keino kwa majina yote mawili
 
Msiwatupie lawama Wazanzibari na wala msiwasingizie ubaguzi. Tatizo lipo tangu Nyerere alivyofanya vamizi Zanzibar, ameshindwa kuleta maendeleo. Umaskini umezidi, watu wananyimwa haki sasa Utanzania umeleta faida gani? Zanzibar ingeungana na Oman badala ya Tanganyika, leo Zanzibar ingekuwa kama Muscat. Sasa kwa nini Wazanzibari waupende Utanzania ulioshindwa kutatua matatizo yao, ulioshindwa kuleta maendeleo?
Kwanini Muscat haijakuwa kama Dubai mpaka leo?
Kwanini haijakuwa kama U.A.E?
 
Ni nadra sana kumkuta Mtanzania wa visiwa vya Zanzibar akijitambulisha kwamba yeye ni Mtanzania.

Nimefanya utafiti wangu usio rasmi kuhusu hili suala. Ukimkuta Mzanzibari nje ya nchi, halafu ukamuuliza ikiwa yeye ni mtanzania, mara nyingi utapokea jibu kwamba 'Mimi ni Mzanzibari'.

Yaani ni kwamba wazanzibari wengi huwa wanajaribu kwa namna yeyote, kuukwepa utanzania na wengi hawapendi kuitwa watanzania. Kwa waliotembea uarabuni mtathibitisha hili. Yaani ukitaka ukosane na mzanzibari huko arabuni, basi we muite mtanzania.

Inaonekana ni kama wazanzibari wanahisi tayari wapo daraja fulani hivi la juu, hivo kitu utanzania ni kuwashusha hadhi.

Hili jambo ni moja ya mambo ambayo nahisi yanahitaji uwepo wa serikali tatu, maana huko tunapoenda, itafika mahali hata sisi wa bara tutatamani kuitwa watanganyika.

Mi binafsi naanza kuchukia jina Tanzania. Maana yake sioni faida ya huu muungano ambao, kuna upande unautweza wazi wazi.
Hawakuupenda huu muungabo toka mwanzo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Uitwe mzanzibar,Mtanzania,au mtanganyika,ni majina tu hayana significance yoyote,kitu chenye uzito unatumia passport ipi?ya Tanzania ni nzito kwa hadhi kuliko ya Zanzibar,
 
Hata ukijitambulisha Mtanzania itabidi umalizie suali ni wa kutoka wapi ? So kurahisisha mambo unasema Zanzibar ,unajua jina Zanzibar linajulikana zaidi kuliko jina Tanzania. Ukimwambia mtu mi ni mTanzania anakuuliza Tanzania ipo wapi,ila ukisema ni kutoka Zanzibar huwa analia kama ng'ombe kwamba ameshakuelewa au hata ukimwambia Daresalaam au kenya.
 
Mkuu, nahisi mleta mada hakukusudia kisheria, amekusudia kipsychologia zaidi,
Kwanini hii jamii ya watanzania wanapenda kujitambulisha kama ni wazanzibari na sio watanzania, tofauti na ndugu zao Watanganyika ambao wanafurahi kujitambulisha kama wa Tanzania.
Ni kweli, na wala sio walio Uarabuni peke hata walioko Europe, America and other parts of the world, what do they have in mind
 
Mkuu Naantombe Mushi , usemayo ni kweli, hakuna tatizo lolote kwa mtu yoyote kujinasibu vyovyote vile apendavyo kwa nafsi yake, as long as utambulisho rasmi wa kimataifa ni Passport, hivyo kwa mujibu wa utambulisho rasmi unaojulikana kimataifa, hakuna cha Mzanzibari, Mzanzibara, wala Mpemba, Tanzania ina uraia mmoja tuu, Mtanzania, hivyo Mzanzibari kujinasibu kwa Uzanzibari wake ni rukhsa kwa ajili ya kujifurahisha na kuifurahisha nafsi yake, ila kimataifa hakuna Mzanzibari bali kuna mtu mmoja tuu, Mtanzania, na hao Wazanzibari wote wanaojinasibu na Uzanzibari wao ni kujinasibu tuu, ukweli ni kuwa hao wote ni Watanzania, na passport zao ni za Tanzania.
P
Hahahahahaahahah!

Deep down your heart inakuuma wao kufanya hivyo.
 
Ni nadra sana kumkuta Mtanzania wa visiwa vya Zanzibar akijitambulisha kwamba yeye ni Mtanzania.

Nimefanya utafiti wangu usio rasmi kuhusu hili suala. Ukimkuta Mzanzibari nje ya nchi, halafu ukamuuliza ikiwa yeye ni mtanzania, mara nyingi utapokea jibu kwamba 'Mimi ni Mzanzibari'.

Yaani ni kwamba wazanzibari wengi huwa wanajaribu kwa namna yeyote, kuukwepa utanzania na wengi hawapendi kuitwa watanzania. Kwa waliotembea uarabuni mtathibitisha hili. Yaani ukitaka ukosane na mzanzibari huko arabuni, basi we muite mtanzania.

Inaonekana ni kama wazanzibari wanahisi tayari wapo daraja fulani hivi la juu, hivo kitu utanzania ni kuwashusha hadhi.

Hili jambo ni moja ya mambo ambayo nahisi yanahitaji uwepo wa serikali tatu, maana huko tunapoenda, itafika mahali hata sisi wa bara tutatamani kuitwa watanganyika.

Mi binafsi naanza kuchukia jina Tanzania. Maana yake sioni faida ya huu muungano ambao, kuna upande unautweza wazi wazi.
Kwa akili yako we unajua kuna muungano? Kuna nchi moja imeikoloni nchi nyingine kwa jina
 
Siku Visiwa vikianza kuzama kwa sababu ya mabadiliko ya tabia nchi ndo wataelewa kwann wao wanaitwa wazanzibar..
Sikuzote aliebebwa hujiona wathaman sana kuzidi aliembeba.. ila akishaanza kutembea mwenyewe ndo anaelewa umuhimu wa kuwa na shukrani!

Usingekua muungano bila Shaka Zanzibar ingekua ni koloni la Islamic State by Now!!
Subutu yake!

Hivi ndivyo Lukuvi alivyowadanganya!

Zanzibar was way far developed before this union. Na the only thing holding Zanzibar back is this union.

Usingekuwa huu muungano Zanzibar ingekuwa level za United Arab Emirates huko.

Kindly take note.
 
Nakubaliana na wewe Bro Pascal, lakini huoni kwamba hivi ni viashiria vya kuparanganyika kwa huu muungano?

Maana pasaport ni document tu, ikiwa watoto wa kizanzibari watazaliwa na kuikuta hii mentality ya sisi wazanzibari, ina maana na wao wata adopt hii mentality na itakuwa rahisi kuipa tangibility ya kujitoa rasmi kwenye huu utanzania wa makaratasi.
Kuna muungano au ukoloni?
 
Uitwe mzanzibar,Mtanzania,au mtanganyika,ni majina tu hayana significance yoyote,kitu chenye uzito unatumia passport ipi?ya Tanzania ni nzito kwa hadhi kuliko ya Zanzibar,
Naunga mkono hoja, uraia uko determined na the passport you hold and the place you come from!.
JMT ni nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania. Mtu yoyote yuko huru kujinasibu vyovyote kokote, ila when it comes to all the official matters, ni Mtanzania.
p
 
Unahangaishwa na jambo dogo sana.

Hawa watu chini ya milioni mbili ndio uhangaike na mambo yao, uache picha kubwa ya milioni karibia ya 60? Muda si muda, wengi wao watakuwa na makazi hapa bara; na ikishatokea hivyo, tayari wametekwa, hawana njia tena ya kutokea.

Mtu aje aishi hapa miongoni mwetu halafu abaki na U-Zanzibar wake, mbona atapata shida sana.

Kwa hiyo nakusihi uwape muda tu, huo ukorofi wao watautupilia mbali muda si mwingi.
You wish hahaahahahhahhah
 
Unahangaishwa na jambo dogo sana.

Hawa watu chini ya milioni mbili ndio uhangaike na mambo yao, uache picha kubwa ya milioni karibia ya 60? Muda si muda, wengi wao watakuwa na makazi hapa bara; na ikishatokea hivyo, tayari wametekwa, hawana njia tena ya kutokea.

Mtu aje aishi hapa miongoni mwetu halafu abaki na U-Zanzibar wake, mbona atapata shida sana.

Kwa hiyo nakusihi uwape muda tu, huo ukorofi wao watautupilia mbali muda si mwingi.
You wish hahaahahahhahhah
 
Msiwatupie lawama Wazanzibari na wala msiwasingizie ubaguzi. Tatizo lipo tangu Nyerere alivyofanya vamizi Zanzibar, ameshindwa kuleta maendeleo. Umaskini umezidi, watu wananyimwa haki sasa Utanzania umeleta faida gani? Zanzibar ingeungana na Oman badala ya Tanganyika, leo Zanzibar ingekuwa kama Muscat. Sasa kwa nini Wazanzibari waupende Utanzania ulioshindwa kutatua matatizo yao, ulioshindwa kuleta maendeleo?
Ili wawe na maendeleo ni lazima kuungana na wengine?? kwann wasisimame wao kama wao?
 
Back
Top Bottom