Wazanzibar wamengangania serikali tatu je wabara mnasemaje? mbili tu mko gizani, tatu mtaziweza? ona ktk attachment hii chin mchango wa wazenji kweny ka JF kao ka mzalendo .net
wanalalama kwamba serikali yenye nchi mbili inawakandamiza, wanahoji kama muungano ni wa nchi mbili tanganyika iko wapi?wanataka serikali tatu, lkn swali ni je hizi mbili tumeshindwa kuziendesha mpaka tunakosa umeme hadi hospitali serikali tatu tutaziweza?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.