Wayne Brigde turns his back for the England squad!

Hapo mpwa nimekupata sana pia ila hao kajamaaa kamenikela sana, na huo u coward /ubinafsi wake na kutaka kubinafsisha kila X-gal friend alio wapitia utamfikisha pabaya sana ati. subiri tumwone anapotaka kwenda

Nimemchukia sana kwa kweli...amewapa waandishi wa udaku issue....the sun hapo kila siku ukurasa wa mbele......Vanessa JT Bridge .....demu mwenyewe yule ni chawote! Si ajabu sasa hivi kuna msela anapiga push ups
 
Najua hao The sun sijui the Dark Moon watakuja na list ya watu walio piga push ups kibao na wachezaji ndio watakuwa wanakula iyo shamba na hayo yote ni kutaka kumwonyeshea W.bridge kuwa yeye alikosa uhondo wa ndoa sasa ngoja awape wenzie ili kiroho kimuume na W.bridge kabisa najua anakula iyo shamba yake bila ubishi iwezekani mtu uwe na asila kiasi hicho kisa ati shamba yako ya zamani ina megwa na mtu mwingine. si ulitaraka nayeye sasa kinacho msibu nini yani natamani hizi pointi ziende kwenye blogs za UK waone nsi tulivyo wachoka na hizo stories zao za mapenzi wanataka kutuletea series za maluv dove hapa kwa mpira wa mguuuuu

Wayney Bridge is simply a coward! Huyo ni exgirl friend wameisha break long long ago...mzee nikilamba your former girl friend utamind?

Sidhani Bridge anajali hilo maana kwa wazungu wakati mwingine mpenzi kuliwa na mtu mwingine hawajali sana. Ila hapa Bridge anaogopa kuwa kwenye "limelight" isiyokuwa na mbele wala nyuma na haswa wakati wa World Cup. Kosa kidogo likitokea kwa mfano wakati wa mchezo ikiwa wanacheza Terry na Bridge vyombo vya habari vitayakuza mno. Kwamba kuna chuki kati yake na Terry ndio maana ikawa vile.
 
Jamaa wanauwa hahahah waandishi balaaaaa!

WAYNE BRIDGE'S WORLD CUP DREAM RUINED BY JOHN TERRY'S PENIS

MANCHESTER City defender Wayne Bridge today admitted his World Cup dream had been destroyed by the penis of John Terry.

messi1.jpg
Messi dream ruined by small, hyperactive penis​
Bridge issued a statement through his lawyers, ruling himself out of England selection, insisting his place in the squad had been made untenable by his former Chelsea team-mate's desire to ejaculate every five minutes.

He said: "If you'd asked me three years ago if I thought I would have to retire from international football and see my dream of playing in the World Cup torn from my grasp because of the pudgy little dick of some hair-gel wearing ponce then I would probably have said 'no'."

The statement continued: "Today I think back on all those times we stood next to each other in the showers at Stamford Bridge and I would inadvertently catch sight of John obsessively playing with himself like some grubby, demented pervert.

"Not once did it occur to me that such a scrawny, wrinkled inch and a half of flesh would one day prevent me from swapping jerseys with Lionel Messi."

He added: "As a professional footballer you always worry that your dreams could be ruined by a cruciate ligament injury or possibly even a nasty groin strain.

"But if a groin is going to have a negative impact on your career then it should, at least, be your own."

The full-back said he wished the squad the best of luck in South Africa except for Terry who he hopes is eaten alive by a dirty great crocodile, starting with his tiny cock.

http://www.thedailymash.co.uk/sport/sport-headlines/wayne-bridge%27s-world-cup-dream-ruined-by-john-terry%27s-penis-201002252508/
 
Tehetehe!, Masa najua una uchungu sana coz of Terry, u are more worried kwa sababu una wasiwasi kuwa itam-destabilize Terry kiwango chake uwanjani ktk ngazi ya Klabu kuliko nchi yake, au sio Bruh?
BTW; Huyu Terry ni Mngoni au?, Lol!
 
Kumbe kimtachi Wayne kiasi hiki, si mchezo!!..sasa anaiangusha timu ya taifa hivihivi,duh!..Atakuwa amemfia huyo dada kwelikweli!
 
Kumbe kimtachi Wayne kiasi hiki, si mchezo!!..sasa anaiangusha timu ya taifa hivihivi,duh!..Atakuwa amemfia huyo dada kwelikweli!

...Lazima iume, mama mtoto wake huyo bana. kama sio abortion/kubumbuluka huenda jamaa angelea mtoto si wake!
vanessa-perroncel-pic-getty-467806741.jpg

Disgraced England captain John Terry got best pal Wayne Bridge's ­girlfriend pregnant.

And he then ­arranged for devastated Vanessa Perroncel to have an abortion as he shamelessly tried to keep the scandal ­under wraps.

French underwear model ­Vanessa, 28, fell pregnant last ­autumn weeks into her fling with Terry, Bridge's best friend and neighbour.

Vanessa – who has a four-year-son with Bridge – steadfastly stuck to a pact she agreed with Terry not to admit ­anything. But she later crumbled when Bridge confronted her in person.

source; http://www.mirror.co.uk/news/top-st...bridge-s-girlfriend-pregnant-115875-22007179/
 
Sioni tatizo hapo, Mathew Upson anaweza chukua nafasi ya Ferdinand, namkubali sana huyu jamaa wa Westham. Upande wa kushoto off course Ashley Cole ni chaguo la kwanza, wapo wachezaji wakuchukua nafasi ya Bridge kama Stephen Warnock, Nicky Shorey , Luke Young ama Leighton Baines.
Wote ni wazuri tatizo uzoefu
 
Wana JF,

Kweli mie siwafichi kabisa huyo W.Bridge ni anaakili za kitoto siju amekumbwa na maswahibu gani.

Ila all in all nikuwa W. Bridge kwa vyovyote vile ni lazima tu ana uhusiano wa mapenzi na huyo X-gal friend wake pamoja na kuwa ameoa mwanamke mwingine, hivyo basi kimemuuma sana sasa anataka kutuletea yale mahasila ya kike ya kususa yeye anadhani ni yeye tu ndio anakula iyo shamba(x-gal friend) aache uzushi labda atuambie tu analake jambo au anataka kujenga hisia kwa waingereza wenzake kuwa J.Terry ni mbaya na hafai ni kumwalibia jina mwenzake na si mnajua media za UK ni wambea kuliko zote dunia kitu kidogo tuu wanakikuza ati.

Mbona Ashly Core anakumbana na matatizo tena ya ndoa ila anadunada kila kukicha iweje W.bridge tu hicho ki x-gal friend ndio kimwondoe kwa National Team, yani chama cha FA cha UK kimwadabishe huyo W.Bridge hana uzalendo wa kitaifa na achunguzwe anatuletea mambo yake ya nje kwa national matter eeeeeh bhooooo
Issue ya Cole ni tofauti kabisa na bridge,Cole anakula mademu wa nje but JT amekula demu wa Bridge
 
Tehetehe!, Masa najua una uchungu sana coz of Terry, u are more worried kwa sababu una wasiwasi kuwa itam-destabilize Terry kiwango chake uwanjani ktk ngazi ya Klabu kuliko nchi yake, au sio Bruh?
BTW; Huyu Terry ni Mngoni au?, Lol!
Hizi zinaitwa ngumi za uso. yaani kila ikitua ni pointi tu na ukiendelea hivi KO ik njiani maana macho yamevinba kinoma. Jamaa analialia kwasababu JT yuko Chelsea na kwa tena Bridge alienda City.

Sidhani Bridge anajali hilo maana kwa wazungu wakati mwingine mpenzi kuliwa na mtu mwingine hawajali sana. Ila hapa Bridge anaogopa kuwa kwenye "limelight" isiyokuwa na mbele wala nyuma na haswa wakati wa World Cup. Kosa kidogo likitokea kwa mfano wakati wa mchezo ikiwa wanacheza Terry na Bridge vyombo vya habari vitayakuza mno. Kwamba kuna chuki kati yake na Terry ndio maana ikawa vile.
Wewe jamaa kama hujasomea counseling basi fanya fanya upate shahada yako ya Uzamivu kwenye psychology, maana umalitizama suala hili kwa mapana. Fikiria Bridge anatoa back pass kwa JT halafu mpira unanswa kitu kina tinga nyavu lawama zitakuwa za nani?
 
C'mmon guys gve m a break!!!!??
Ww mtu ashawai kuwa BEST MAN WAKO!
Ww mtu ktk vacation nne mlizowai kwenda, mara mbili Terry alikuwapo pia (kipindi Brigde akiwa na Perroncil)
For god sake!!, hivi hamjui uzito wa kuzaa na mtu halafu BEST MAN wako akamegea (japo kuwa kisela)?, Lol! hata kama mmetalikiana at least Terry would have called Brigde and ask....plz pal, may i bonk her, i mean ur former gal?, Lol!.....manake hapo ukute jamaa tokea wanaenda zile Vacation alikuwa anaibia na kupigaaa taraaaatibuuuu!(definately hata mm/ww ungeweza fikiri hivyo)

Oh Nooooo!, Terry jaribu kwa Mkurya hiyo kitu tuone kama hutakuwa 'Sadam Hussein' mda si mwng..
 
Terry is the product of two problem parents = Mama mwizi, na baba mlevi!! he is just carrying the family tree properly
 
Hope msg ya leo Darajani imekuwa-delivered!
BTW; Did Terry comment anythng after Wyne kutangaza kujitoa Engld squad?
 
Hili sakata la hawa mastaa lina utata kidogo, baada ya kulifualia nagundua kumbe hata wazungu wana mapungufu mengi tu
a) Bridge alikuwa ameachana na demu wake muda mrefu tu
b) hakuwa mkewe wa ndoa - hawala.
c) Hatutembea na Terry pekee baada ya kuachana na Bridge, wachezaji na mastaa wengi walipita hapo wakapewa walichotaka.
d) Terry ana kosa kubwa la tutembea nje ya ndoa na kum-mimba huyo kimwana

sasa basi
a) Sioni kwa nini Bridge apate uchungu kiasi hicho? kwani aliweka hati miliki kwenye mwili wa huyo kimwana? - si alikuwa ameachana naye.
b) Je angepewa mimba na mtu mwingine mbali na terry - angekasirika pia au tatizo ni terry kumpa mimba X- demu wake
c) Wa kusikitikia sana ni mke wa JT - na si Bridge - Kitendo cha hata kukataaa kusalimiana na Terry kinaonyesha mapungufu ya huyu jamaa - na kaenda mbali zaidi kwa kukataa kujiunga na timu ya taifa - sababu Terry yumo.

Sisi waafrika suala hili lisingefikia hatua hii, waafrika tukiachana na demu inakuwa imeisha - akaolewe na yoyote au atembee na yoyote ruksa - sababu mwili wake.

Labda kama sijaelewa vizuri - nitapokea ufafanuzi zaidi toka kwenu - ila kifupi Bridge hana hoja ya msingi kuumia kiasi hicho as if kaibiwa mkewe tena wa ndoa.- huu sasa si WIVU - ni kiboko ya wivu.
 
Wayney Bridge is simply a coward! Huyo ni exgirl friend wameisha break long long ago...mzee nikilamba your former girl friend utamind?

Umetazama hili suala kiswahili zaidi ndio maana umekuja na hiyo conclusion, sishangai
 
Umetazama hili suala kiswahili zaidi ndio maana umekuja na hiyo conclusion, sishangai

kiswahili namna gani? fafanua. alitaka kusikitika lakini si namna anlivyofanya, kwa hiyo tatizo ni JT kutembea na X- Girlfriend wake na kumpa mimba? na angetembea na jamaa mwingine si JT?

Masanilo upo sahili mkuu - bado namuona jamaa si mwanaume - ana hasira za kike kike - unafikia hatua ya hata kukataa national team call up kisa wivu
 
Hata wewe sio kosa lako, ni mazingira ya kiswahili uliyokulia ndio yamekufanya uwe na mtazamo huo. Kama utakumbuka hata scandal iliyowahi kumpata Mzee Dito (RIP) alidai kwao ni urijali, kiswahiliswahili ni sawa ila kwa wenzetu ni tofauti sana. Kuna namna ya kuangalia jambo, jambo hilo hilo ukiliangalai kwa mtzamo wa kimagharibi utapata tafsiri tofauti na ukiliangalia kwa mtazamo wa kwetu. Kiswahili ni sawa, WB ana wivu wa kike sikatai, ila mtazamo wa kimagharibi ni tofauti kabisa, na hivi sasa kuna wito wa kumtaka JT nae ajitoe national team!
 
Jamani huo ndio utamaduni wa kimagharibi mwanamke yeye yuko juu ya mwanaume au watu tumesahau mamton tunavyoita kwa mama,wazungu wanamthamini sana mwanamke na ndio maana ukitokea mtafaruku ndani ya nyumba atakayeondoka na sanduku ni mwanaume hata kama hiyo nyumba umejenga mwanaume na hata mali mtagawana sawa hata kama hamukuchuma pamoja je wamatumbi kwa hilo lipo?la hasha halipo sababu si utamaduni wetu.Nimekumbuka Mutombo au Hakeem kama sikosei mmojawapo alisema asingekubali yeye aoe mwanamke na agawane naye mali nusu kwa nusu wakitengana,kwa hiyo akasema anaenda kuoa nyumbani,jibu aliloambiwa hata ukioa wapi maadamu unaishi Marekani itabidi ufuate sheria za marekani za kugawana mali,kwa kifupi hayo ni mambo ya tamaduni
 
Hata wewe sio kosa lako, ni mazingira ya kiswahili uliyokulia ndio yamekufanya uwe na mtazamo huo. Kama utakumbuka hata scandal iliyowahi kumpata Mzee Dito (RIP) alidai kwao ni urijali, kiswahiliswahili ni sawa ila kwa wenzetu ni tofauti sana. Kuna namna ya kuangalia jambo, jambo hilo hilo ukiliangalai kwa mtzamo wa kimagharibi utapata tafsiri tofauti na ukiliangalia kwa mtazamo wa kwetu. Kiswahili ni sawa, WB ana wivu wa kike sikatai, ila mtazamo wa kimagharibi ni tofauti kabisa, na hivi sasa kuna wito wa kumtaka JT nae ajitoe national team!

ungenijibu hivi ningekuelewa zadi - si umagharibi uliokazania -

"he broke up because of the saga and he has a baby with her the problem is JT and bridge were best friends "
 
Back
Top Bottom