ungenijibu hivi ningekuelewa zadi - si umagharibi uliokazania -
"he broke up because of the saga and he has a baby with her the problem is JT and bridge were best friends "
Sababu uliyoitoa kiswahiliswahili inamalizwa na bifu linakwisha, kuna kesi kibao moshi huko baba kamtia mimba mkwewe wanakaa chini na maisha yanakwenda. Kwanini hutaki kukubali mazingira uliyokulia ndio yanakufanya uwe na mtazamo huoooooooooooooo? Sio dhambi kulitazama jambo kiswahili kwasababu sisi ni waswahili. Mfano; kuna mechi moja Arsenal walicheza nadhani ilkuwa CL, pale Highbury, akatokea kinguchiro uwanjani; kwa sisi waswahili kutokana na mazingira yetui na mpira wetu ulivyo tulidhani ule ni uchawi ile kwa wenzetu ambao uchawi kwenye soka sio agenda wangedhani yule nguchiro ametoka kwenye zoo bahati mbaya.