Wawekezaji wa kigeni wanapojichukulia sheria mkononi

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
MZOGA+2.JPG

mZOGA+1.JPG

Mwekezaji baada ya kuwakosa wafugaji kuwaparamia na gari lake huko Mbalari alimalizia hasira zake kwa punch babu kubwa iliyoondoa uhai wa ng'ombe huyu. Kama kulikuwa na kosa kwa nini asiombe vyombo vya usalama vimsaidie badala ya kuharibu kwa hasira mali za wazawa?
 
Naomba vigezo vya kuitwa mwekezaji hapa tz,hasa ukubwa wa mtaji na kiwango cha ujuzi.
 
huu ni unyama asee na la kushangaza bado 2naendelea kuwa kumbatia hawa mbwa......
 
wewe akiingia anga zako mmalize na polisi nao wakileta zakuleta wapote na wao nadhani heshima itarudi kama kwa walimu wa bukoba kuchezea bakora za mkuu wa wilaya..
 
Me ndio maana nawapenda sana wakurya,huu ujinga huwa hawaukubali huyo muwekezaji lazima wangemchinja kama kuku,Hapana kuoneana mura.
 
MZOGA+2.JPG

mZOGA+1.JPG

Mwekezaji baada ya kuwakosa wafugaji kuwaparamia na gari lake huko Mbalari alimalizia hasira zake kwa punch babu kubwa iliyoondoa uhai wa ng'ombe huyu. Kama kulikuwa na kosa kwa nini asiombe vyombo vya usalama vimsaidie badala ya kuharibu kwa hasira mali za wazawa?

Ukiona hivyo serikali kaiweka kiganjani
 
Mwisho wa yote haya ni kuaibishana wenyewe kwa wenyewe bila sababu. We should learn to recognize other human beings as they are.
 
Hii imekaa safi sana.

CCM OYEEE...........................................
 
Back
Top Bottom