Nambe
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 1,451
- 528
Unajua wengi wao hawa wavaa kata k, na mengine ya hivyo ni hawa wa umri wa kati, wengine wanafunz wa sekondari, wa vyuo vikuu na wengine ni wasakanyoka tu mitaani.haya mambo yanabadilika namna wanayoendelea kukua na majukumu pia yanawabadilisha, kwa sasa ni ujana tu na mkumbo unawasumbua. Anayejiandaa kuwa mwanasheria hiyo taaluma yake itamlazimisha kubadilisha mtindo wake wa uvaaji na mwonekano kwa ujumla. Umri nao una nafasi kubwa katika hilo.
Nambe! Where did u get this quote from??
So if that is the case. You saw some1 with his pants hanging like he shit himself and he is walking like over loaded truck you are going to think mhhh! may be he is a lawyer!
Hahahahaha. My friend when it comes to human being. Your appearance talks more than what you are.