Watz tuachane na Siasa hakuna kitakachobadilika

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Hakuna kitakachobadilika kwa sasa labda miaka 20 au 30 ijayo huko ila kwasasa hakuna kitakachobadilika

Sio ccm sio chadema sio act-Wazalendo wana uchungu na Watz..

Kuna mambo mkiambiwa mtachoka akili na roho ila tunaacha tu bota kutengeneza maisha yako tu kuachana na Siasa

Siasa ndo maisha yetu ndo msingi nakiri siasa ndo maendeleo binadam hawezi tenganishwa na siasa hilo haliwezekani kamwe

Lakini kwetu sisi ni kama tupo mateka hivi mkiambiwa wote hao lao ni moja mtaamini nachosema?Nikiwaambia mchana utawaona wakipiga mikutano lakini usiku wapo na hao hao wanaopiga vita mchana mikutanoni na wote unakuta lao ni moja tu kila mtu ashibishe tumbo lake na familia yake

Labda wanasiasa wa kweli wapo Kenya na Uganda huko sina hakika narudia tena sina hakika

Hapa kwetu unakuta chama B na Chama C wanalipwa usiku na mtu mmoja halafu mchana utakuta wanakisema chama A hao hao chama A nao wanachama wanaona wapo salama kumbe wao A,B,C wanatakiwa wajifariji tu kuwa wanazubaishwa tu siku ziende

Huyo anayewalipa hao B na C naye kuna mtu X anamtuma afanye hivyo na huyo X na B na C ni washirika tokea zamani huko na wanashirikiana sana na lao ni moja wote wana miradi yao pamoja na biashara zao za siri za ubia wanaozubaishwa ni wananchi tu siku zisonge.

Na ukweli mchungu ni kuwa msitarajie kuna kitu kitabadilika hata siku moja kwasababu kila mtu ana mtu wake wa kumtii na kwenda kuripoti mwishowe wote wanaripoti kwa mtu mmoja huyo mtu naye ana watu wake nje anakwenda kuripoti huko hii ndo tz ilivyo

Ni bora kufocus kwenye maisha yako tu siasa usiipe sana kipaumbele, pambana umiliki biashara zako, magari na kila kitu kinachostahili

Hakuna kitakachobadilika, hakuna labda ipite miaka 20 au 30.

Hata miradi yote unayoona huko inaweza kuwa ilijengwa kwa maslah ya mtu mmoja au watu wawili au wachache tu infact hakuna kitu kipo kwa ajili ya kumsaidia mtz wa kawaida kwasasa never vingi vipo kwa ajili ya mtu au watu wachache nilitaka nitoe evidence ya miradi hapa nisije nikaleta taharuki bure

Kuanzia A mpaka C ni wale wale tu mnajazwa upepo, laiti mngejua miamala na yanayofanyika gizani kamwe msingejishughulisha kupoteza muda mtandaoni kuhangaika na wao.......

Mwenye kusikia na asikie
 
Nakubaliana kabisa na wewe... Siasa imeshatiwa maji... Utamu hapo tena na viongozi wanapanga namna bora ya kutunyonya ili wao na vizazi vyao vineemeke... Binafsi nimekaa anajiona kama Mkimbizi ktk nchi yangu. Viongozi hawajalipa maslahi maana ya wananchi... Bali ma tumbo yao tu...
 
Hakuna kitakachobadilika kwa sasa labda miaka 20 au 30 ijayo huko ila kwasasa hakuna kitakachobadilika

Sio ccm sio chadema sio act-Wazalendo wana uchungu na Watz..

Kuna mambo mkiambiwa mtachoka akili na roho ila tunaacha tu bota kutengeneza maisha yako tu kuachana na Siasa

Siasa ndo maisha yetu ndo msingi nakiri siasa ndo maendeleo binadam hawezi tenganishwa na siasa hilo haliwezekani kamwe

Lakini kwetu sisi ni kama tupo mateka hivi mkiambiwa wote hao lao ni moja mtaamini nachosema?Nikiwaambia mchana utawaona wakipiga mikutano lakini usiku wapo na hao hao wanaopiga vita mchana mikutanoni na wote unakuta lao ni moja tu kila mtu ashibishe tumbo lake na familia yake

Labda wanasiasa wa kweli wapo Kenya na Uganda huko sina hakika narudia tena sina hakika

Hapa kwetu unakuta chama B na Chama C wanalipwa usiku na mtu mmoja halafu mchana utakuta wanakisema chama A hao hao chama A nao wanachama wanaona wapo salama kumbe wao A,B,C wanatakiwa wajifariji tu kuwa wanazubaishwa tu siku ziende

Huyo anayewalipa hao B na C naye kuna mtu X anamtuma afanye hivyo na huyo X na B na C ni washirika tokea zamani huko na wanashirikiana sana na lao ni moja wote wana miradi yao pamoja na biashara zao za siri za ubia wanaozubaishwa ni wananchi tu siku zisonge.

Na ukweli mchungu ni kuwa msitarajie kuna kitu kitabadilika hata siku moja kwasababu kila mtu ana mtu wake wa kumtii na kwenda kuripoti mwishowe wote wanaripoti kwa mtu mmoja huyo mtu naye ana watu wake nje anakwenda kuripoti huko hii ndo tz ilivyo

Ni bora kufocus kwenye maisha yako tu siasa usiipe sana kipaumbele, pambana umiliki biashara zako, magari na kila kitu kinachostahili

Hakuna kitakachobadilika, hakuna labda ipite miaka 20 au 30.

Hata miradi yote unayoona huko inaweza kuwa ilijengwa kwa maslah ya mtu mmoja au watu wawili au wachache tu infact hakuna kitu kipo kwa ajili ya kumsaidia mtz wa kawaida kwasasa never vingi vipo kwa ajili ya mtu au watu wachache nilitaka nitoe evidence ya miradi hapa nisije nikaleta taharuki bure

Kuanzia A mpaka C ni wale wale tu mnajazwa upepo, laiti mngejua miamala na yanayofanyika gizani kamwe msingejishughulisha kupoteza muda mtandaoni kuhangaika na wao.......

Mwenye kusikia na asikie
Mwanaume Israel katoa amri wanaotakiwa kuswali msikiti wa Al Aqsa ni miaka 55 kuendelea kama hutaki kaswali kwengine.
 
Umechelewa sana kujua hilo, kimombo tunasema you're late to the party.
 
Kabisa hata ccm ya kisasa inakumbatia matajiri this makada wa chama wanamiliki sheli,mabiashara n.k,
tutafute pesa kwa bidii
 
Back
Top Bottom