Watumishi wa mahakama hawajalipwa mshahara wa feb 2012

MmasaiHalisi

Senior Member
Jan 15, 2009
192
23
Habari nilizozipata toka ndani ya mahama,watumishi wake wote hawajalipwa mshahara mpaka leo,je sisi ambao tuna kesi tukienda mahakamani hawatatuomba rushwa?
 
Hata kama wangekuwa wameshalipwa, hao kwa rushwa ni kama maji. Yaani uende mahakamani usiombwe rushwa tena hizi ndogo ndogo za kipolisi/kitrafic. Nchi hii inachekesha sana!!
 
Back
Top Bottom