Elections 2010 Watu wote someni hii

3D.

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,018
282
Wakuu, kumekuwa na posts nyingi kuhusu mwenendo wa Upigaji kura. Hii inasababisha tunashindwa kufuatilia matukio vizuri. MODS wamesaidia kidogo katika hili. Ukiingia katika Forum ya UCHAGUZI TANZANIA 2010 iliyopo front page ya JF, ndani yake kwa juu kuna Sub-Forum mbili. Moja ni kwa ajili ya Matukio yanayoendelea katika vituo vya Upigaji kura na Nyingine ni kwa ajili ya matokeo ya kura zenyewe. Naomba tutumie hizo Sub-Forums ili kusaidia posts zote ziwe sehemu moja. MODS wangeweza wangeweka hizi "Sub-Forums" front page, huku watu hawazioni.
 
Back
Top Bottom