Watu wawili washambuliwa na kuporwa Gymkhana kwa mapanga

mpwa usirudi kumjibu utapoteza muda ,,tatizo kufika mjini kwao ni wakati wakazi awajui watu wanaenda usiku for dinner,mazoezi gymkhana sijui kama anaifahamu ilipo ..Mungu amsaidie

msiogope jamani unaweza kutoa hata wanao dinner serena sio gali kama unavyoofikiri,,wakiwawanakunywa unaweza fanya mazoezi kuona he hivi kituo cha posta usiku kinakuwaje kama fujo za mabasi akuna,,,na mengineyo ,,usihofu bugibire sisi ni wajasiriamali waajiriwa ukiteseka sana lazima uenjo na wanao ,,na mudawenyewe ndio huo usiku mkuu..otherwise nipe namba yako nikiwa town tuchekiane ,,,uone kama unaavunjiwa gari na mtu wa aina gani ,,jtano,jmosi na ijumaa kama leo niko gymkhana ..kpntouch

Bugibire= BIGURUBE???
 
Last edited by a moderator:
hiyooooo ku poooooooooooooooop mpwa sijajua kama awakuwavua nguo maana giza lile inawezabaki siri yamoyyoni
 
Mara nyingi ni wahusika wa maeneo ya ikulu

Maana e barabara wameandika mwisho kupita ni saa 12 jioni, that means after that ukipita yatakayokupata juwezi kuripoti popote ndio maana wanawaibia watu in dat way, maana wakikukamata na kukuweka ndani hawana faida tena.
 
Tangu lini kupita halo mwwisho SAA 12?? Nijuavyo kipande ambacho watu huwa wanakabwa unaweza kupita 24/7
 
Barbara mwisho sa12 ni kile kipande kunachopita nyuma ya ikulu hadi feri, hata pale agakan usiku kuna machangu,tex lakini bado watu wanaporwa.
 
Barbara mwisho sa12 ni kile kipande kunachopita nyuma ya ikulu hadi feri, hata pale agakan usiku kuna machangu,tex lakini bado watu wanaporwa.

Wale machangu wa Jolie Bar na Ohio karibu na Gym khana mteja wao mkuu ni Pdidy na mdogo wake Small pdidy:p
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom