mpwa usirudi kumjibu utapoteza muda ,,tatizo kufika mjini kwao ni wakati wakazi awajui watu wanaenda usiku for dinner,mazoezi gymkhana sijui kama anaifahamu ilipo ..Mungu amsaidie
msiogope jamani unaweza kutoa hata wanao dinner serena sio gali kama unavyoofikiri,,wakiwawanakunywa unaweza fanya mazoezi kuona he hivi kituo cha posta usiku kinakuwaje kama fujo za mabasi akuna,,,na mengineyo ,,usihofu bugibire sisi ni wajasiriamali waajiriwa ukiteseka sana lazima uenjo na wanao ,,na mudawenyewe ndio huo usiku mkuu..otherwise nipe namba yako nikiwa town tuchekiane ,,,uone kama unaavunjiwa gari na mtu wa aina gani ,,jtano,jmosi na ijumaa kama leo niko gymkhana ..kpntouch
walijisaidia wenyewe kwa kuachia pikpik zao na laptop mkuu
Mara nyingi ni wahusika wa maeneo ya ikulu
Maana e barabara wameandika mwisho kupita ni saa 12 jioni, that means after that ukipita yatakayokupata juwezi kuripoti popote ndio maana wanawaibia watu in dat way, maana wakikukamata na kukuweka ndani hawana faida tena.
Barbara mwisho sa12 ni kile kipande kunachopita nyuma ya ikulu hadi feri, hata pale agakan usiku kuna machangu,tex lakini bado watu wanaporwa.