Watu wanavuna pesa kupitia siasa halafu wanataka wanaojitafutia mkate wa kila siku waandamane, haiwezekani

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Pamoja nakuruhusiwa kufanya maandamano hakuna impact yoyote iliyotokea ya mwitiko wa watu hii maana yake NI kwamba watu walishachoka na siasa za majitaka.

Wengi wanajuwa CHADEMA NI janja janja ya kivuli kinachoitwa upinzani kumbe NI Tawi lilelile la ccm na wengi wanajuwa hawa watu NI pesa mbele mambo mengine baadae.

Amini nawaambia hawa Jamaa wataraluana kwa vyeo ! Tundu lisu hatokuja kuwa mwenyekiti na mbowe ataendelea na kazi ya mwenyekiti.

Niwaambie Tu zitto hakutaka kuwa mnafiki wa maandamano aliamua kujifanyia shughuli zake na chama chake maana anajuwa nikupotezeana muda.
 
Siasa ni mchezo wa kuigiza. Wanasiasa wengi wanaangalia maslahi yao ndio maana mimi siku zote nasimama na anayetetea wananchi na sio Chama.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
IMG_6223.jpg
 
Pamoja nakuruhusiwa kufanya maandamano hakuna impact yoyote iliyotokea ya mwitiko wa watu hii maana yake NI kwamba watu walishachoka na siasa za majitaka.

Wengi wanajuwa CHADEMA NI janja janja ya kivuli kinachoitwa upinzani kumbe NI Tawi lilelile la ccm na wengi wanajuwa hawa watu NI pesa mbele mambo mengine baadae.

Amini nawaambia hawa Jamaa wataraluana kwa vyeo ! Tundu lisu hatokuja kuwa mwenyekiti na mbowe ataendelea na kazi ya mwenyekiti.

Niwaambie Tu zitto hakutaka kuwa mnafiki wa maandamano aliamua kujifanyia shughuli zake na chama chake maana anajuwa nikupotezeana muda.
Mindset yako.

Napo ni uhuru wa kufikiri

Heshimu uhuru wa Kikatiba.
 
Chadema walikosea timing, wakati wa mjadala wa Bandari ndio ilikuwa kipindi Cha kurudisha uhai wa chama kwa kuandaa maandamano lakini walikaa kimya wakaachia vijana wao ambao walifanya Mambo harakaharaka bila mpangilio ili wapate umaarufu.

Watu wamelalamika Sana kuhusu mfumko wa Bei kuanzia mafuta kupanda, bidhaa mbalimbali Kama sukari, kukatika umeme lakini Chadema walikaa kimya Kama hayawagusi lakini lilipokuja swala la Sheria za uchaguzi sababu linawagusa moja kwa moja wakaandaa maandamano.

Ukitaka kuwateka wananchi ongea nao kuhusu vitu vinavyowagusa moja kwa moja lakini ukija kwenye Mambo Kama Sheria za uchaguzi kwa nchi ambayo wananchi wengi upepo wao wa Mambo ya siasa ni mdogo ni ngumu kupata support.
 
Pamoja nakuruhusiwa kufanya maandamano hakuna impact yoyote iliyotokea ya mwitiko wa watu hii maana yake NI kwamba watu walishachoka na siasa za majitaka.

Wengi wanajuwa CHADEMA NI janja janja ya kivuli kinachoitwa upinzani kumbe NI Tawi lilelile la ccm na wengi wanajuwa hawa watu NI pesa mbele mambo mengine baadae.

Amini nawaambia hawa Jamaa wataraluana kwa vyeo ! Tundu lisu hatokuja kuwa mwenyekiti na mbowe ataendelea na kazi ya mwenyekiti.

Niwaambie Tu zitto hakutaka kuwa mnafiki wa maandamano aliamua kujifanyia shughuli zake na chama chake maana anajuwa nikupotezeana muda.
HOPELESS.
 
Wamekuja kukulilia njaaaaa? Mbona unaropoka Tu Kijana?
 
Kuna wajinga wengi walio ongea hivyo hivyo wakati Nyerere anafanya maandamano miaka ya 50.

Watu kama nyie mungelikuwa wengi tungelikuwa mpaka leo tunatawaliwa na Wakoloni
 
Wewe naye jinga tu.Watu wana hoja za msingi alafu wewe unaleta ujinga.Ungeishi miaka ya nyerere kupambania uhuru hakika lengo lisingefanikiwa kwasababu unawaza ujinga.vitu kama sio size yako yauelewa sio lazima uvisemee kwasababu una akili chache sana ambazo hazilingani ata na bei ya lawalawa.
 
Unaishi kwa bahati mbaya sana karne hii! Watu aina yako walitakiwa waishi mwisho karne ya 16 tu sio zaidi ya hapo! Anyway, bora ungekaa kimya kuficha upumbavu!
Usikute ndo hayo makimbizi yaliyojazana nchini.Hii ikiwa na mambo yakijinga yanafurahia kwasababu kwao ni faida kwa nchi zao.
 
Back
Top Bottom