Watu wanapokua na njaa afu mnaambiwa be passient,mkwawa university

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Mkwawa ni chuo cha Education,na Walimu ni Wavumilivu hata wasipopewa mishahara mwaka mzima.Ila kwa hili walimu wameshindwa kukaa kimya,Niliwa napita naona Matangazo yamebandikwa kua kesho watu wakutane kwe mti unaitwa mdigree kujua hatima ya Boom maana Wezetu wa Nyerere na Duce wameanza kupata hela,Ni kua Wengi wetu wazazi wetu ni maskini na sie tunategemea msaada wa HELSB,N I KUA matangazo ya BE PASSIENT BOAD IMECHELEWESHA FEDHA,Sa Mbona Wenzetu Wamepewa.Watu wanashindia Mahindi,kula mara moja ni kawaida,Hivi watu wakigoma mtasema wanfunzi wakorofi,je njaa ina BE PASSIENT
 
Back
Top Bottom