Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,778
- 40,003
Je Starlink inakaa ndani? Ni Dishi linakaa juu ya bati, so kusema Router inakaa nje ndio upate network sio Excuse ya kuhalalisha.Asee sababu kubwa starlink inashika kila mahali ila hio mitandao ya simu nikanjanja sana asee mfano mimi natumia ya voda nikienda bagamoyo no network inakua aifanyi kazi kabisa.. tuachane na hilo dar hapa hapa kuna mahali nilipanga hakuna mtandao kabisa yanj mpka utoke nje au utegeshetegeshe router ndo upate mtandao hivo naweza sema internet bora kabisa ni fibre tu ila si haya makampuni ya simu.