princekerry
Member
- Feb 9, 2011
- 16
- 0
kiukweli tunajua umuhimu wa DR SLAA kwa taifa la TANZANIA ni mtu adimu sana na wanatokea watu wachache wanao simamia ukweli na ukweli mtupu
because shughuli anayoifanya sio ya kitoto, kawashika pabaya sema ndio hivyo hana support kubwa ya wananchi
Ufafanuzi tafadhali TANZANIA kila mtu ana Rais wake?au una maanisha nini sijakuelewa naomba ufafanue.safi sana rais wangu nayekupenda akuna raisi atakaye fanana na wewe labda kambarage tu lakini utakuwa kwenye mioyo ya watanzania daima mpaka hapo mafisadi watakapo kuachia ikulu ukarekebishe mambo na watanzania wakapate kuishi kwa amani na utulivu wakafaidi matunda ya nchi yao mungu akupe afya njema na maisha marefu ili uweze kuongoza taifa hili pasipo kuwepo ikulu
Aaah aaah aaah..........
Watanzania kwa kutoa sifa za marehemu hawajambo!!
Hiyo ndiyo raha ya ushindi. Huhitaji kulazimisha watu wakushangilie. Hongera mshindi wa kweli wa kiti cha urais Tanzania.
.....wanaogopa kulipuliwa...wampe nafasi ya kulihutubia bunge.
TUNATAKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TUME HURU
YA UCHAGUZI BUNGENI SASA HIVI!!!
Enyi Ndugu Waheshimiwa viongozi wetu
akina Kikwete, Dr Slaa, Prof Lipumba, Mbowe, Julius Mtatiro, Zitto Kabwe, Mbatia, Dr Mvungi, Prof Baregu, Prof Mukandala, Dr Bana, Dr Azaveli, Mama Nkya, Ndg Mgaya, Makwaia wa Kuhenga, Jenerali Ulimwengu, Reginald Mengi, Pius Msekwa, Fredrick Sumaye Fredrick Msuya, John Malecela, Mama Anna Makinda, Sheik Issa Bin Simba, Mhe Iddi Simba, Maaskofu na Wachungaji wote nchini, Denis Mwamnyange, Said Mwema, The Othma's, Tundu Lissu, Sitta, Mwakyembe, Mzee Mkapa, Mzee Salim Ahmed Salim, Mzee Sinde Warioba, Mzee Butiku, Prof Sarungi, Selasini, Ole Sendeka, Tido Mhando, Mama Maria Nyerere, Mama Karume, Selelii, Prof Bangu, Dr Matumaini, Bashe, Celina Kombani, Kafulila, Hamad Rashid, Regia, Lukuvi, Mama Maghimbi,Mama Anna Abdala, Pombe Magufuli, Mstaarabu wa Siasa Tanzania - Dr Mohammed Shein, Salmin Amour, Godbless Lema, Mzee Mwanakijiji, Maxence Melo, Candid Scope, Fareed, Mwakalebela, Mnyika, Halima Mdee, viongozi wote wa serikali za wanafunzi vyuoni ... na wengine wengi wengi wengi tu, sisi kama vijana wa nchi hii sasa hivi tunawaulizeni nyote kwa pamoja kwamba ...
... suala letu la michakato wa kujiandikia KATIBA MPYA na kuunda Tume Huru ya Uchaguzi ZINAANZA LINI BUNGENI???