Watu wamesisimka sana kumwona Dr. Slaa bungeni leo

We can

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
678
47
Katika pitapita zangu leo asubuhi, nilishtushwa na watu wakisema, "sikiliza, tazama, angalie, nk" Kumbe wanaonyeshana Dr. Slaa! Kilichonishangaza zaidi, ni jinsi Mh. Makinda alivyokuwa akimfagilia! Nilishangaa zaidi nilipoona watu wengi waliosisimka ni wa vyama vyote!

Baada ya hapo, mtaani watu wameendelea kujadiliana, Slaa leo alikuwepo bungeni....

Heshima niliyoina leo juu ya uwepo wa Dr. Slaa bungeni; heshima iliyotolewa na Spika, wabunge wote na wanachi walioona na waliosikia, inanifikirisha sana...

This MUST BE A GREAT MAN FOR HIS MEN AND WOMEN....., Who cares! I do!
 
unafanya mchezo na prezdaa ambaye hakutangazwa! Ana mvuto nafkiri hata JK ukimuuiliza sababu ni 'muungwana' atakwambia anamfili dr. Wa ukweli big up wilbroad
 
Katika pitapita zangu leo asubuhi, nilishtushwa na watu wakisema, "sikiliza, tazama, angalie, nk" Kumbe wanaonyeshana Dr. Slaa! Kilichonishangaza zaidi, ni jinsi Mh. Makinda alivyokuwa akimfagilia! Nilishangaa zaidi nilipoona watu wengi waliosisimka ni wa vyama vyote!

Baada ya hapo, mtaani watu wameendelea kujadiliana, Slaa leo alikuwepo bungeni....

Heshima niliyoina leo juu ya uwepo wa Dr. Slaa bungeni; heshima iliyotolewa na Spika, wabunge wote na wanachi walioona na waliosikia, inanifikirisha sana...

This MUST BE A GREAT MAN FOR HIS MEN AND WOMEN....., Who cares! I do!
because shughuli anayoifanya sio ya kitoto, kawashika pabaya sema ndio hivyo hana support kubwa ya wananchi
 
safi sana rais wangu nayekupenda akuna raisi atakaye fanana na wewe labda kambarage tu lakini utakuwa kwenye mioyo ya watanzania daima mpaka hapo mafisadi watakapo kuachia ikulu ukarekebishe mambo na watanzania wakapate kuishi kwa amani na utulivu wakafaidi matunda ya nchi yao mungu akupe afya njema na maisha marefu ili uweze kuongoza taifa hili pasipo kuwepo ikulu
 
Kingine ni jinsi Dr. Slaa alivyosimama kwa unyenyekevu, SO MOVING! SO TOUCHING!
 
kweli naanza kuamini dr. Slaa ndiye rais wa kwanza katika dunia hii na ulimwengu mzima kwa ujumla kufanya kazi nje ya ikulu...haijawai kutokea..
 
Du basi akubali asamehe 70 x 70 na akubali yaishe kwani 2015 si mbali
 
Dr W. Slaa anatisha, mafisadi wanogopa hata kivuli chake. Wananchi wanampenda kwa kusema na kusimamia ukweli.

:clap2: Ee Mungu uliyeumba mbingu na nchi mbariki Kongozi wetu Dr Slaa. Mpe afya njema ya mwili na roho, hekima na busara ili aendelee kuiongoza Tanzania.
 
Amina!
 
Katika pitapita zangu leo asubuhi, nilishtushwa na watu wakisema, "sikiliza, tazama, angalie, nk" Kumbe wanaonyeshana Dr. Slaa! Kilichonishangaza zaidi, ni jinsi Mh. Makinda alivyokuwa akimfagilia! Nilishangaa zaidi nilipoona watu wengi waliosisimka ni wa vyama vyote!

Baada ya hapo, mtaani watu wameendelea kujadiliana, Slaa leo alikuwepo bungeni....

Heshima niliyoina leo juu ya uwepo wa Dr. Slaa bungeni; heshima iliyotolewa na Spika, wabunge wote na wanachi walioona na waliosikia, inanifikirisha sana...

This MUST BE A GREAT MAN FOR HIS MEN AND WOMEN....., Who cares! I do!

Nilidhani wabunge wa ccm wangetoka nje na wao,ila wameonesha wanamkubali sana.
 
Kukubalika kwa Dr Slaa hakuna ubishi hata wasiompenda wanamkubali kwani wanaijua kazi yake na kuwa hana hila - HE HAS TZ AT HEART. Big Up Mzee wetu
 
Hiyo ndiyo raha ya ushindi. Huhitaji kulazimisha watu wakushangilie. Hongera mshindi wa kweli wa kiti cha urais Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom