Watu wa jukwaa lipi avatar zao hazina mvuto?

Kwani wadau humu si wanachangia jukwaa lolote!
Au kuna bondaries humu JF?
 
kama ni msosi jukwaa la siasa ni ugali mmu mboga chitchat kachumbari
 
kwani mvuto ni nini?

Basi mie sili silali kwa avatar za ritz na rejao.
 
Back
Top Bottom