Watu 14 wa Kundi la Taifa jipya, wakamatwa na jeshi la polisi

Naona polisi wameona mwarobaini ni wakikamata kipwanya rodi wanakamata na mzazi wake pia anawekwa ndani na anafunguliwa na kesi ya kushindwa malezi!!
Kabisa mzazi ni mtu wa kwanza kutuhumiwa
 
Hii nchi inakoenda,
1476810492470.jpg
 
Sasa hivi watu wanajua kufyatua tu, suala la malezi litajijua lenyewe. Jamii nayo imeona suala la ulinzi si suala lao na sio wa kuwalaumu. Hii inatokana na kwamba polisi na huduma zao si rafiki kwa raia na walinda usalama hawa HAWAAMINIKI na umma ukiachilia mbali siasa za ajabu ajabu kwenye vyombo hivi. Hali hii ikirekebishwa uhalifu utakomeshwa maana hawatoki kwenye ulimwengu wa kiroho hawa vibaka, wanatoka kwenye nyumba zetu hizi hizi.
 
Zamani enzi za hayati baba wa taifa watoto wa rika hilo walikuwa ni watu wa heshima sana eti sasa hivi ni kizazi kinachoogopwa hahahahah kweli hili ni taifa jipya.
 
Japo sii lazima maana akili nzuri katupatia vichwani mwetu, iweje tunatumia akili mbovu!!?

Tumeambiwa "USIIBE"

Kura zinaibwa!!!''!
Hapo unamualika MUNGU wa nini??

Kwan wakipora au kujeruhi huwa inawaathiri hao Wezi wa kura peke Yao ?Sio kila jambo kuingiza Siasa
 
huwezi kuamini ni watoto wadogo wenye chini ya miaka 16 wamekamatwa wakiwa na mapanga kwenye uzinduzi wa camp yao iliyoko Temeke iitwayo Taifa jipya wakiwa na mapanga,mkuu wa kituo cha polisi temeke amesewa hao watoto watahukumiwa kifungo kwa mujibu wa sheria

source ITV HABARI
 
Kwan wakipora au kujeruhi huwa inawaathiri hao Wezi wa kura? Sio kila jambo kuingiza Siasa
Tuna kila kitu kutu surport maisha yasonge, inakuwa ni ujinga wetu tunaposhindwa ku utilise our resources within our inviroment accordingly kiasi cha kumuhitaji Mungu aje kutufundisha jinsi ya kufanya.
 
Daah asee madogo wakati wanaenda kupanda hio gari la Police walikua wanachechemea mbya kabisaa, nadhani Police watakua wamewagonga miguu ile vzr Sana
 
Tuna kila kitu kutu surport maisha yasonge, inakuwa ni ujinga wetu tunaposhindwa ku utilise our resources within our inviroment accordingly kiasi cha kumuhitaji Mungu aje kutufundisha jinsi ya kufanya.

Acha Kiburi cha kujifanya u can survive bila ya kumhitaji Mwenyezimungu! Hata uwezo wa ku utilize hizo Resources bado unatoka kwa Mwenyezimungu!
 
Ni wakati wa jamii kuzuia, na kukemea mambo haya hasa ikizingatiwa kuwa hawatoki porini bali tunaishi nao majumbani..!
Tukumbuke pia uzalishaji wa watoto wa mitaani. Kundi hili haliogopi kuua au kuuawa. Lisipodhibitiwa ni hatari kwa usalama wa nchi.
 
Jamani tupange uzazi...tuzae watoto walau tunaoweza kuwapa shule na mahitaji ya msingi..mitaani watoto kibao tunafyatua tu bila kujali uwezo wetu.....mstakabali wa watoto hao nk.....tunasema eti kila mtoto kapangiwa na Mola......
 
Ukawa ndio wanataka haya mambo maana huwa wanachochea fujo kwenye mawazo ya watoto
 
Asee sasa vitoto hata miguu haijakomaa inaonekana kama ya demu ndo wanatikisa hivyo natamani nikabidhiwe anagalau dadika 20 tuu niwaonyeshe kazi dadeki kama hawajanena kwa lugha nifukuzwe kazi *****!!!
Ha ha ha ha ha ha una ugwadu nao.....
 
TAIFA JIPYA nimeona mchoro wao unaonyesha vijana wana dhana za mapanga na mashoka hii hatari
 
Back
Top Bottom