tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,409
Kabisa mzazi ni mtu wa kwanza kutuhumiwaNaona polisi wameona mwarobaini ni wakikamata kipwanya rodi wanakamata na mzazi wake pia anawekwa ndani na anafunguliwa na kesi ya kushindwa malezi!!
Kabisa mzazi ni mtu wa kwanza kutuhumiwaNaona polisi wameona mwarobaini ni wakikamata kipwanya rodi wanakamata na mzazi wake pia anawekwa ndani na anafunguliwa na kesi ya kushindwa malezi!!
Japo sii lazima maana akili nzuri katupatia vichwani mwetu, iweje tunatumia akili mbovu!!?
Tumeambiwa "USIIBE"
Kura zinaibwa!!!''!
Hapo unamualika MUNGU wa nini??
Tuna kila kitu kutu surport maisha yasonge, inakuwa ni ujinga wetu tunaposhindwa ku utilise our resources within our inviroment accordingly kiasi cha kumuhitaji Mungu aje kutufundisha jinsi ya kufanya.Kwan wakipora au kujeruhi huwa inawaathiri hao Wezi wa kura? Sio kila jambo kuingiza Siasa
Tuna kila kitu kutu surport maisha yasonge, inakuwa ni ujinga wetu tunaposhindwa ku utilise our resources within our inviroment accordingly kiasi cha kumuhitaji Mungu aje kutufundisha jinsi ya kufanya.
Tukumbuke pia uzalishaji wa watoto wa mitaani. Kundi hili haliogopi kuua au kuuawa. Lisipodhibitiwa ni hatari kwa usalama wa nchi.Ni wakati wa jamii kuzuia, na kukemea mambo haya hasa ikizingatiwa kuwa hawatoki porini bali tunaishi nao majumbani..!
Ha ha ha ha ha ha una ugwadu nao.....Asee sasa vitoto hata miguu haijakomaa inaonekana kama ya demu ndo wanatikisa hivyo natamani nikabidhiwe anagalau dadika 20 tuu niwaonyeshe kazi dadeki kama hawajanena kwa lugha nifukuzwe kazi *****!!!