Watoto wa viongozi wa CHADEMA wanasoma shule zipi?

Status
Not open for further replies.

kelvin.pcb

Senior Member
Jan 2, 2013
175
21
hawa viongoz wanaonekana wana uchungu sana na TZ, ningependa kujua km watoto wao wanasoma shule za kata au la.
 
Then what? Nchi iharibiwe na CCM, lawama wapate watetezi wa maslahi ya Mtanganyika. Kweli Meya Ma------ alisema ukweli
 
hawa viongoz wanaonekana wana uchungu sana na TZ, ningependa kujua km watoto wao wanasoma shule za kata au la.

Mbona unauliza swali la kijinga mno,mimi na CDM damu lakini watoto wangu sijawapeleka shule za kata CCM wameanzisha shule hizi za kata wakijua fika hazitatoa elimu stahili i watoto wao wasome shule nzuri na waendelee kupata ajira nzuri na watoto wetu waendelee kuwa wafagiaji tu w ofisi. Kwa sasa hivi kama unamtakia mema mtoto wako si busara kumpeleka shule za kata.
 
Then what? Nchi iharibiwe na CCM, lawama wapate watetezi wa maslahi ya Mtanganyika. Kweli Meya Ma------ alisema ukweli
Khaaa!! kudadadadeki mshaanza kutafuta sababu hata kabla hatujawapa rungu. Kweli bango baaaado sana. Tutaliwa na kuliwa na kuliwa :disapointed:
 
Kuna wagombea wawili wako kwenye kampeni katika eneo moja.....kila mmoja akinadi sera zake kwa awamu...ghafla mvua ikaanza kunyesha....mmoja akakimbilia kujisitiri na mvua...mwenzake akabaki ananyeshewa huku akiendelea kunadi sera zake. Ni yupi katika hawa ungempa kura yako ukizingatia sera zao zote zina mashiko?
 
shule zenyewe hazifai kusomesha watoto...eti M A S A B U RI PRIMARY SCHOOL, Kuna mtoto kusoma hapo?
 
Shule zao wameziua , aliyezianzisha anang'ang'ana kuanzisha saccos za walimu ili wauze vitumbua ! Kuna nini hapo ?
 
Kuwa masikini sio kigezo cha kukufanya uonekane wewe ndio mzalendo wa kweli.
 
hawa viongoz wanaonekana wana uchungu sana na TZ, ningependa kujua km watoto wao wanasoma shule za kata au la.

Kwa nini wasome shule za kata? Nani alikuambia kuwa na uchungu na nchi ndiyo kumkosesha elimu bora mwanao? Acha ujinga wako!!
 
call them for more information.Ukisema uliposoma wewe ni rahisi kujua wanakosoma watoto wao..Raia wana njaa na hawajui mstakabali wa maisha yao.Kila kona umaskini,maradhi,rushwa,ukosefu wa maadili.!!!????
 
Sasa nimeamini kuna mlotumwa..siko chama chochote ila kwa hili hata mpofu anaona...ndugu unadhirisha csiemu imeshikwa pabaya....
 
Kwahiyo wakisoma hizo shule ndio uchungu wa nchi? Zitengenezeni basi ziwe na manufaa alafu tutasoma huko. Nyie baba zenu wanawapeleka ulaya kuanzia praimari hadi kusomea uinjinia wa meli ambao unapatikana Mbegani bagamoyo na mengineyo alafu sisi tukasome shule za kata ambazo hazifaulishi ili na watoto wenu waendelee kuwatawala watoto wetu sio? Hapo mmenoa, siku hizi hata si lazima uwe tajiri anko ndio mtoto asome vizuri, wazazi wanajibana ile mbaya ili watoto wakasome hizo hizo mnazosomeshwa nyinyi, wameshtuka aisee. Pole sana
 
sule hizo ni za ccm na zilijengwa hili kutongozea kura na ni majanga.
 
wa kwangu hasomi shule ya kata, mimi si kiongozi ila ni mwanachama wa CDM.

Mwambie kuwa sisi wanachadema hatusapoti ujinga! Watoto wetu na watoto wote wa kitanzania wanstahili kupata elimu iliyo bora ingawa ccm hawajali! Wangekuwa wanajali mtoto wa rais Kikwete, Mwanaasha asingepata division zero!

cc. FaizaFoxy , njiwa, mingoi, Ritz, simiyu yetu, HAMMY-D, babayako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom