Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,536
- 8,625
nadhani huu mjadala upo outdated ......
Mkuu FMES mambo yote yaliyotokea huko BOT kama EPA nk.
Halafu na hayo majina bado tu hakuna maswali?
BOT ni benki ya serikali jamani....Ni chombo muhimu sana...Na hatuwezi kusema wako huko kwasababu eti ya uvumilivu...Jamani uvumilivu ndio kubakia BOT?
AMA KWELI TUKO MATAWI YA TOFAUTI SANA TU.
Mkuu Mushi,
Heshima mbele sana, sikukatalii malaalmiko yako lakini tuweke mambo yanapotakiwa, JF tunaheshimika sana kwa ukweli na dataz, huwa tunafanya utafiti na kuweka vitu hadharani, hata siku moja sio tabia yetu kuwachukia wananchi flani katika jamii yetu kwa imaginations kama mnavyotaka tufanye hapa,
Nenda fanya utafiti then njoo hapa tupe ukweli au hata karibu na ukweli, EPA na mengine hayana uhusiaon wowote na hili la kuwaonea wananchi wenzetu watoto wa viongozi, tunajdili sana hii ishu lakini never tumewahi ku-produce ushahidi hata wa dataz, tunakuwa na chuki tu zisizokuwa na msingi wala ukweli hatuwezi kulisaidia taifa na hizi nyepesi nyepesi!
Mkuu Mtanzania,
BOT ilikuwepo kabla ya hao wengine na infact huko pia wapo sana, besides huko BOT watoto hawa wa vigogo kuna walioingia huko in the last two years?
Mara ya mwisho nilipowauliza wengi wao huko BOT, waliniambia kua wamekuwa huko for the last 10 to 20 years, Freeman amefanya huko, ndani ya hii forum kuna watu kibao wamewahi kuwepo huko na sio watoto wa vigogo, wote hawa waliacha baada ya kuona hapana mpango, sasa baadhi ya hao watoto wa vigogo walivumilia na kubaki,
Kuna wakati BOT haikuwa na lolote wananchi wengi hata watoto wa masikini walikimbia huko, wao walibaki sasa leo wanakula matunda ya uvumilivu wao imekua taabu vipi tena? Siasa za namna hii zitatufikisha pabaya sana, tunatakiwa tukubali matatizo yetu yaliyo wazi na kuya-deal nayo bila visingizio na lame excuses,
I do not like uchunguzI wa Ndulu, lakini pia sipendi majungu bila ukweli wala dataz, hivi wananchi wamefika Urope kama wewe? Ina maana ulimuhonga mtu kwenda huko? Maana tukishamaliza na watoto wa wakubwa kujaa BOT, then ni lazima tuhamie pengine guess what tutasema wananchi wote walioenda majuu waliendaje, sasa wapi tuta-draw the line na hay majungu?
Waacheni vijana walifanyie kazi taifa letu, kuna facts of life ambazo sometimes hatuwezi kuzizuia, lakini tuheshimu sheria zinazolinda haki za wananchi wote taifa ni letu sio la masikini tu!
tuacheni mambo ya kishamba...huwezi kumuadhibu mtu kwa kosa la baba yake ..au ukoo,hawa watooto wa vigogo wengi waliotajwa kwenye ile list wote wana qualifications zao...na wana haki ya msingi kufanya kazi kama yeyote.....i know most of those guys they have gone to school.....ndio maana hata baada ya pekua pekua ..wameshikwa wengine lakini hakuna hata mmoja kati yao aliyeshikwa....
tatizo ninalolijua pale benki kuu lililokuwa likisababisha watu kuajiriwa kwa kufahamiana [hata wakiwemo watoto wa walala hoi wenzetu...i know some of them]...ni kwa sababu BOT hawakuwa na utaratibu wa kutangaza nafasi za kazi magazetini....sasa wameanza kutangaza ...itaondoa hii hali..
lakini pia nataka muelewe pamoja na kuwa BOT wengi wameajiriwa kwa connections nyingi miongoni mwa wafanyakazi kuwaita wenzao waliosoma nao universities....bado kabisa haifuti ukweli kuwa BOT ni moja ya taasisi iliyosheheni wasomi kuliko taasisi nyingi tanzania...na zaidi ya hapo ni taasisi yenye ushindani wa wafanyakazi wao kupenda kujiendeleza kimasomo........
HIVI WATANZANIA TUNAONA RAHA GANI HAWA WATOTO WA VIGOGO ....WALIOSOMESHWA KWA KODI ZETU NA PESA ZA KUDOKOA ZA BAADHI WAZAZI WAO WAAJIRIWE MANHATTAN.....BADALA YA KUJA NYUMBANI KAWA WENGINE KURUDISHA UJUZI WALIOSOMEA HUKO MAJUU......MBONA WATOTO WA VIGOGO ENGNEERS NA MADAKTARI ..WANAOTIBU ...HAMUWALALAMIKII....WATANZANIA TUNA DHANA POTOFU YA KUABUDU KAZI ZA FINANCE!
Mkuu Mtanzania,
Mara ya mwisho nilipowauliza wengi wao huko BOT, waliniambia kua wamekuwa huko for the last 10 to 20 years, Freeman amefanya huko, ndani ya hii forum kuna watu kibao wamewahi kuwepo huko na sio watoto wa vigogo, wote hawa waliacha baada ya kuona hapana mpango, sasa baadhi ya hao watoto wa vigogo walivumilia na kubaki,
[/SIZE]
mzee kama unajua Post ya jamaa , ili kuwa ya moja kwa moja, kwanini ulileta jina lake kwenye hii maada? kuhusu kumjua mtu wether ni wa bukoba au kiraracha, kusaidiana kupo, ina depend na connection zako. Ndio maana tunaona commect kama za Ridhwan kumsaidia au kumpigia pande Beno malisa etc.wakati moja ni wachalinze na mwingine, sijui wapi?1.
Margai amesoma mlimani, alipomaliza akapelekwa BOT kitu ambacho zamani alipomaliza shule ilikuwa kawaida, akaenda NY akiwa Mtanzania wa kwanza kusomea namna Financial markets zinavyotakiwa ku-function, na kurudi bongo na kuanzisha ile market yetu mbuzi, hakuingia kwa anything jamaa ni mtoto wa masikini na hakuwa any connection na kiongozi yoyote, tuache majungu hapo!
Hapo ndio kabisaa umekosea mkuu, Margai has nothing to na hao watu ambao wote ni washikajiw angu wa karibu, Josephine nimecheza naye Halaiki akiwa anasoma Jangwani, Jeska, Tony, Jane wote ninawajua wka akribu sana, Mzee Msirikali hakuwa na ubavu wowote wa kumuajiri mtu serikalini, Rutihinda asingewaacha kina marehemu Alex na kumsaidia mtu baki asiyemjua, Rutihinda anatoka Bukoba, Margai anatoka Musoma, na besides ninawajua wote kwa karibu no connection bro nothing!
what orodha has to do na faulo inayosemwa? Yaani ilitakiwa wawe watoto wa masikini tu ndio katiba inavyosema? Wakuu tutafute ukweli kama hawa watoto waliajiriwa kwa faulo ukweli usemwe wazi kama tunao, lakini hukumu bila facts au hata dataz, tutaonekana mbele ya jamii tun tatizo na watoto wa viongozi, that is wrong by any standard za civilizations!
1.
Margai amesoma mlimani, alipomaliza akapelekwa BOT kitu ambacho zamani alipomaliza shule ilikuwa kawaida, akaenda NY akiwa Mtanzania wa kwanza kusomea namna Financial markets zinavyotakiwa ku-function, na kurudi bongo na kuanzisha ile market yetu mbuzi, hakuingia kwa anything jamaa ni mtoto wa masikini na hakuwa any connection na kiongozi yoyote, tuache majungu hapo!
Hapo ndio kabisaa umekosea mkuu, Margai has nothing to na hao watu ambao wote ni washikajiw angu wa karibu, Josephine nimecheza naye Halaiki akiwa anasoma Jangwani, Jeska, Tony, Jane wote ninawajua wka akribu sana, Mzee Msirikali hakuwa na ubavu wowote wa kumuajiri mtu serikalini, Rutihinda asingewaacha kina marehemu Alex na kumsaidia mtu baki asiyemjua, Rutihinda anatoka Bukoba, Margai anatoka Musoma, na besides ninawajua wote kwa karibu no connection bro nothing!
QUOTE]
Correction!
Kasoma Zanaki na siyo Jangwani mkuu!
Mkuu Mtanzania,
BOT ilikuwepo kabla ya hao wengine na infact huko pia wapo sana, besides huko BOT watoto hawa wa vigogo kuna walioingia huko in the last two years?
Mara ya mwisho nilipowauliza wengi wao huko BOT, waliniambia kua wamekuwa huko for the last 10 to 20 years, Freeman amefanya huko, ndani ya hii forum kuna watu kibao wamewahi kuwepo huko na sio watoto wa vigogo, wote hawa waliacha baada ya kuona hapana mpango, sasa baadhi ya hao watoto wa vigogo walivumilia na kubaki,
Kuna wakati BOT haikuwa na lolote wananchi wengi hata watoto wa masikini walikimbia huko, wao walibaki sasa leo wanakula matunda ya uvumilivu wao imekua taabu vipi tena? Siasa za namna hii zitatufikisha pabaya sana, tunatakiwa tukubali matatizo yetu yaliyo wazi na kuya-deal nayo bila visingizio na lame excuses,
I do not like uchunguzI wa Ndulu, lakini pia sipendi majungu bila ukweli wala dataz, hivi wananchi wamefika Urope kama wewe? Ina maana ulimuhonga mtu kwenda huko? Maana tukishamaliza na watoto wa wakubwa kujaa BOT, then ni lazima tuhamie pengine guess what tutasema wananchi wote walioenda majuu waliendaje, sasa wapi tuta-draw the line na hay majungu?
Waacheni vijana walifanyie kazi taifa letu, kuna facts of life ambazo sometimes hatuwezi kuzizuia, lakini tuheshimu sheria zinazolinda haki za wananchi wote taifa ni letu sio la masikini tu!
Sijui WAANDISHI wote NCHI hii ni "REPORTERS" tu. Kwa nini hawakummuuliza maswali hayo? Uandishi wa nchi hii unachosha sana na hii imechangia usomaji magazeti kudorora sana
Sijui WAANDISHI wote NCHI hii ni "REPORTERS" tu. Kwa nini hawakummuuliza maswali hayo? Uandishi wa nchi hii unachosha sana na hii imechangia usomaji magazeti kudorora sana
yaani kuna watu wana personnal agendas ambazo hazina facts. kwa kweli we will all be nuts if we keep hating the idea that these so called watoto wa vigogo have a job in BOT.... hivi statistically as of now, Is BOT the best paying organisation in the country? I so doubt that
kwa kweli i support the idea ya kutafuta facts na kujua kiukweli did the recruitment followed procedures or not? are these people qualified or not? and besides why hating that these people are employed there.....
mtu yeyote in his/her right mind hawezi kuajiri tu mtu just bcoz the person has highest grades in schppl. lets face it reference matters ... huwezi kumpa mtu kazi hana reference inaeleweka... akiwa mwizi? akiharibu kazi na kutoroka? the only thing i think they might be at an advantage is that there names are good references in the first place, once they get good referees out there and with great qualifications.. they will stand a greater chance than any other. na kweli si kuwa wako BOT tu sema BOT imekumbwa na kashfa so its big deal...
somesha watoto wako, nawe uwe na watu ambao ni reference nzuri wakupe tough when your kids are ready to work.
Kasoma Zanaki na siyo Jangwani mkuu!
mzee kama unajua Post ya jamaa , ili kuwa ya moja kwa moja, kwanini ulileta jina lake kwenye hii maada?
Mkuu hapa tupo ukurasa mmoja, matatizo ya mapungufu ya uchunguzi wa Ndulu, hayawezi kubebeshwa wananchi wanaofanya kazi huko BOT, eti kwa sababu ni watoto wa viongozi, uchunguzi wa haki under katiba ni ule tu utakaochunguza wafanyakazi wote huko BOT,
Kuwa-single out watoto wa viongozi walioko huko BOT, ni kukiuka katiba na ni haki ya hawa watoto kumfikisha anybody, atakayehusika uchunguzi zaidi ya huu wa Ndulu, kwa sababu so far hakuna probable course ya uchunguzi unaowalenga kikundi fulani tu katika jamii.
Hapana alikuwa darasa moja na dada wa mke wangu Jangwani, lakini anyways ngoja nimtwangie nimuulize kukata mzizi wa fitina, okay ni kweli mkuu uko right ameniambia alikua Zanaki, respect!.
Kuthibitisha kwamba hata watoto wa masikini wanapewa nafasi na taifa letu.
Unajua ndugu yangu unachanganya mambo, ile era ilikuwa ni nyingine na hii ya sasa ni nyingine. na ukizungumzia maneno hayo, Basi hatunba haja ya kumlaumu Raisi wa sasa or who ever. Kama ulivyosema watoto wa Maskini or what ever walifaidika na ndio maana tunaona eg Lowasa alipata fursa katika maisha yake, May be na Kikwete Pia, Prof Ndulu and the like.
Na hata post zilipokuwa zinatoka kwa kutangazwa bado kuna watoto wa Maskini kama unavyo waita wanapata nafasi za kazi, na wengine ndio hivyo. Lakini cha msingi kinacho zungumzwa au kujadiliwa ni
1. Post imetangazwa? ili kutoa nafdasi kwa aliye soma nje /ndani/wa kigogo/sio wakigogo, maana kuna watoto wasio wa vigogo nao wana mbinu zao.
(2) Short list ilifanyika kwa kufuata misingi3. Interview ilifanyika kwa haki (4) Evaluation and selection ilifuata criteria zilizo wekwa.
kwa hiyo mlengo wetu ni kuona kama mtu anapata kitu anapata kwa njia halali au la.
na mimi nisingependa kuangalia wavigogo/sio wavigogo, bali jinsi mambo yanavyo kwenda ili mtu upate huduma/kazi/tenda etc.
eg wengi wa hao vigogo ambao wamesoma hawajui rushwa, na hawana shida nyumbani ya kumsababishia hachukue rushwa, lakini asiye wakigogo mazingira yamemuelekeza huko, hivyo anaweza kumpiga bao hata mtoto wa kigogo.
Na ndio maana leo hii utaona walio faidika na system utakuta si-watoto wa vigogo, bali watu wengine tu walio weza kuisoma system inavyo kwenda na kuitumia. Eg Chenge unaweza kukuta hakuwa mtoto wa kigogo, lakini leo hii ni kigogo, hao akina kigoda, ngasongwa and the like
Watuonyeshe matangazo, idadi ya walioomba, panel ya interview na minutes za interview