Watanzia wenye vipaji vya hali ya juu hawa hapa,nani anawatambue?,wengekuwa wazungu mngewatambua!

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
wadau wapo watanzania wengi sana wanafanya mambo makubwa sana na kugundua mambo ambayo yangeweza kusaidia taifa letu katika nyanja mbalimbali lakini hakuna anayewatambua.

mfano ni huyu ndugu yetu alitengeneza Division Calculator for CSEE & ACSEE ni mtoto wa kitanzania tena mwenye elimu yakawaida sana na wengine wengi,ambao naomba nawe uwaweke hapa na vitu walivyofanya ili kuwakumbusha hawa jamaa kuwa vipaji huwa vinaibuliwa siyo kusubiri kuletewa tu.
 
Back
Top Bottom