Watanzania wenzangu hapa nikusaidiana kama tupo kupondana poa

edjizzo

Member
Nov 2, 2010
81
1
Nasikitika sana kweli ndomaana yesu na uruma yake yote sisi wanadamu tuka mtundika msalabani na mimi si mtanifanya hivyo kuomba kwamba msaada si kwapesa kukuonyesha kwamba na weza sio natania please nawaomba sisi ni watu ambao technlogy ipo nyuma kwahiyo nataka tuunde chama mbacho kina wadau wa technologia na kusaidiana ni mimi EDSON KENNEDY >CHIZICOMPUTER
 
Kaka nipo nyuma yako angalia usije geuka gafla.mkuu nimekuwa nikifatilia topic zako sana nimegundua kitu kwamba kile kipaji ulicho nacho unataka hatawengine wanufaikenacho.nia nzuri ila kama unavyosema yesu aliteswa kwa ajili yetu.hiyo ni kweli.maana mitume waliwahi kuambiwa NAKAMA WEWE NI MTUME WA MUNGU BASI MWAMBIE MUNGU WAKO ALETE GIZA.yaani mchana uugeuze usiku.hizi changamoto walizopata ndo na ww utajazipata. Ipo siku utashangaa mtu atakwambia umsaidie kutengeneza soft ambazo hata ukiitengeneza haito msaidia.
 
hilo linawezekana ila sijui m2 kama mimi ambae hata itro comptr sikusoma.ila namiliki computer ambayo sasa angalao ninajua ku washa,kuzima,kufomati,ku instal soft ku uninstal.je nami naweza nikajiendeleza?na nikawa mkali kama wewe.
 
Ebana bro we mkali kama kuna SIMBA mwingine nae ajinadi hapa uwanjani Hata blog yako nayo nimeiona.binafs kuna vitu nilitaka uongeze katka blog. Mkuu nita kutumia PM.kaza raba kiongozi.
 
Nasikitika sana kweli ndomaana yesu na uruma yake yote sisi wanadamu tuka mtundika msalabani na mimi si mtanifanya hivyo kuomba kwamba msaada si kwapesa kukuonyesha kwamba na weza sio natania please nawaomba sisi ni watu ambao technlogy ipo nyuma kwahiyo nataka tuunde chama mbacho kina wadau wa technologia na kusaidiana ni mimi EDSON KENNEDY >CHIZICOMPUTER

hilo linawezekana ila sijui m2 kama mimi ambae hata itro comptr sikusoma.ila namiliki computer ambayo sasa angalao ninajua ku washa,kuzima,kufomati,ku instal soft ku uninstal.je nami naweza nikajiendeleza?na nikawa mkali kama wewe.
 
Kaka nipo nyuma yako angalia usije geuka gafla.mkuu nimekuwa nikifatilia topic zako sana nimegundua kitu kwamba kile kipaji ulicho nacho unataka hatawengine wanufaikenacho.nia nzuri ila kama unavyosema yesu aliteswa kwa ajili yetu.hiyo ni kweli.maana mitume waliwahi kuambiwa NAKAMA WEWE NI MTUME WA MUNGU BASI MWAMBIE MUNGU WAKO ALETE GIZA.yaani mchana uugeuze usiku.hizi changamoto walizopata ndo na ww utajazipata. Ipo siku utashangaa mtu atakwambia umsaidie kutengeneza soft ambazo hata ukiitengeneza haito msaidia.
 
mkuu nabii hakosi heshima ila kwa watu wa nyumbani kwake so ucjali kufanya kile unachokijua kwani huku jamvini wanasoma utashangaa utaeshimiwa na watu wa nje ya tanzania
 
dr.4ne hapo umesema maana kama mshikaji atapondwa na watu kumi ila akaheshimiwa na watu mia moja bado anafaida kubwa tu. so asikonde tupo pamoko katika gemu.
 
ndomanake namwambia acfe moyo
 
ndomanake namwambia acfe moyo

unajua wa bongo wengi hat ikija kutokea mtu akasema leo wayu wote tusitoke ndani kwakuwa nje kuna hewa ya sumu. bado watu watasema huyo muongo hivyo hata mzazi anapo mkataza mtoto kuchezea wembe anakuwa kajua madhara ya wembe so kama mtoto hasikii achana nae @dr phonez?
 
Back
Top Bottom