Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

wewe ndo mvivu unaacha kufanya kazi unaweka vidole vyako kwenye kiboard nakuanza kuandika upupu, kwa taarifa yako watz ni wachapakazi nenda kanywe maziwa ya mama maana inaonekana hujakuwa bado

Afadhali umemtonya kabisa.
 
Wewe umesema WaTZ ni wavivu so utakuwanazo sababu,please tuambie why ni wavivu
 
Yo Yo nitakubaliana na wewe on my experience na kwenye makampuni niliyofanya kazi watanzania tuna excuses nyingi sana mtu akiumwa kidogo tu haji ofisini hapo kuna visingizio vya kufiwa.

Utasikia nimefiwa na mama wa ubatizo naenda kuzika ohoo sijui mtoto wa shangazi kafariki...
 
Jua kali ...:hat:
0002.gif
 
ni wavivu wa kitu gani?

Mie nna miaka 28, nina watoto 8.
Nieanza kujifungua nikiwa na miaka 20

bado mimi ni mvivu wa kuzaa?
 
its true,mie ni mvivu na ni mtanzania.....kama leo nimeamka nimepata breakfast huyooo nikaishia kny laptop kitandani lol,i wish i was more active.
 
its true,mie ni mvivu na ni mtanzania.....kama leo nimeamka nimepata breakfast huyooo nikaishia kny laptop kitandani lol,i wish i was more active.

madam umeshajigundua fanya kubadilika..!
 
nikikumbuka wazee wetu walivyojituma kupiga kazi shambani kuanzia asubuhi mpaka late ili watupeleke shule naona kama unaleta madharau,utakuwa mvivu wa kufikiri mkuu
 
Yo Yo nitakubaliana na wewe on my experience na kwenye makampuni niliyofanya kazi watanzania tuna excuses nyingi sana mtu akiumwa kidogo tu haji ofisini hapo kuna visingizio vya kufiwa.

Utasikia nimefiwa na mama wa ubatizo naenda kuzika ohoo sijui mtoto wa shangazi kafariki...
MKUU tena huko kazini ndio usiseme.......

...Ukipita mtaani asubuhi tu mkuu vijana wanakula soga wanabishania arsenal an man u.....ujinga ujinga tu wanaongea....makazinin hakukaliki angalia j3 ndio kabisaaaa siku nzima ni story za EPL na party za harusi na nyinginezo....
..
hili la uvivu wa kufikiri ndio donda ndugu......
 
Generalization has never been good but when you look at the above issue critically, you will be amazed to know there is a large percentage of us who do not even value what we are doing at our places of work. Its very common to find people saying they hate their jobs, that's one sure way of lowering your productivity at your place of work. You have to love what you are doing no matter how small or trivial it may seem to be!
 
Back
Top Bottom