Watanzania wekeni uzalendo mbele tarehe 11/03/2011 mkampokee Prof Lipumba

Well done mr prof, sasa rudi ukafundishe vijana achana na siasa hazina manufaa yeyote.
 
Mkuu mimi nitaenda kumpokea. Nadhani kwa sasa hana itikadi ya kichama. Kama watu hujitokeza kwenda kuwapokea washiriki wa Big Btother (akina Bhoke) kwa nini tusimpokee huyu ambaye ameonyesha kwamba TZ kuna vichwa?

Hivyo vichwa vimeisaidia vipi nchi yetu?
 
watanzania mnahimizwa na kuombwa kwenda kumpokea profesa ibrahimu lipumba alieiwakilisha vyema tanzania.katika maswala ya uchumi wakidunia akiongoza zaidi ya maprofesa 100 nitunu ya watanzania

umeolewa? umeoa? una watoto? una kazi?
 
watanzania mnahimizwa na kuombwa kwenda kumpokea profesa ibrahimu lipumba alieiwakilisha vyema tanzania.katika maswala ya uchumi wakidunia akiongoza zaidi ya maprofesa 100 nitunu ya watanzania

kweli lkn kaisaidiaje ktk kukuza uchumi wa TZ! familia yake ndo wanaonufaika wakampokee hata wanyamwezi wenzake hawafaidi chochote.
 
Atafikia Msikiti gani?

Wewe ni mtu uliyefilisika kimawazo...Most of your comments zako unatia Udini na hasa kuhusisha na kuu-undermine uislamu. Lakishangaza zaidi ni hiyo picha ya Avatar yako. Sioni ujio wa Lipumba kuhushishwa na kualikwa msikitini..but this showa how low you are! such an evil thinking poor lad!

Kama umetumwa na kigango chako au kwenye mafundisho yenu ya jumaapili au kwenye vikao vyenu vya siri vya kupanga njama ya kuleta vurugu za kidini nchi hii..tumekushtukia..na I am compiling listi za commentrs zako dhidi ya uislamu
 
Atafikia Msikiti gani?

Wewe ni mtu uliyefilisika kimawazo...Most of your comments zako unatia Udini na hasa kuhusisha na kuu-undermine uislamu. Lakishangaza zaidi ni hiyo picha ya Avatar yako. Sioni ujio wa Lipumba kuhushishwa na kualikwa msikitini..but this showa how low you are! such an evil thinking poor lad!

Kama umetumwa na kigango chako au kwenye mafundisho yenu ya jumaapili au kwenye vikao vyenu vya siri vya kupanga njama ya kuleta vurugu za kidini nchi hii..tumekushtukia..na I am compiling listi za commentrs zako dhidi ya uislamu
 
watanzania mnahimizwa na kuombwa kwenda kumpokea profesa ibrahimu lipumba alieiwakilisha vyema tanzania.katika maswala ya uchumi wakidunia akiongoza zaidi ya maprofesa 100 nitunu ya watanzania

Mkuu naona umekuja kipropaganda zaidi. Hatukatai kuhusu kwenda kumpokea ila eleza ukweli kilichompeleka huko anakotoka. Mbona mwenyewe kaishaweka wazi sasa ninyi mnaspin nini?. Rejea post link hapo chini
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/227988-jk-kwenda-kumpokea-prof-lipumba.html#post3395903
 
mbona kama alishakuja tangu mwaka jana mwezi wa 3,mtoa uzi kasema 11.3.2011 ambayo ishapita au siku hz tunahesabu miaka kurudi nyuma?
 
kama kawaida ya CDM wao na miskiti mbali mbali kabisa. just wait 2015 ndo utajua umuhimu wa miskiti... C**T
Unauhakika gani kama huyo ni CHADEMA au CHADEMA inakuwasha kwenye njia ya haja kubwa?
mtaendelea kutumika na Nape mpaka mwisho.
 
Karibu nyumbani Professa bingwa na nguli wa uchumi katika sayari hii. Achana na chama cha wapemba ujenge jina kama prof shivji,si unaona Baregu na wewe siasa inashusha hadhi yenu,taifa la watu wa hovyo hovyo kama hili haliwez kukuchagua wewe na kumuacha mcheza mdundiko wa kikwele kwa kuwa ndo wanafanana nae mawazo!

umenena vema,japo ukweli sikuzote ugeuka kuwa tusi.
 
Tutafutie time machine ili turudi 11/3/2011 na tulienda/tutaenda kumpokea.

Prepare yourself before introducing a post. Watch the date.
 
watanzania mnahimizwa na kuombwa kwenda kumpokea profesa ibrahimu lipumba alieiwakilisha vyema tanzania.katika maswala ya uchumi wakidunia akiongoza zaidi ya maprofesa 100 nitunu ya watanzania

Mkuu, nitakuwa mmoja wa wa-Tz watakaokwenda kumpokea iwapo tu utaniorodheshea jinsi ambavyo Tz imefaidika kutokana na uwepo wake huko alikokuwa.
 
hata uchukie jamaa class ingine bongo hakuna wakufananisha hata dunia
Acha ujinga wewe yani unataka kutuambia yeye ndiye bingwa wa uchumi duniani? Katoa mchango gani na kwa nchi ipi ambao niwa kukumbukwa na umemfanya kuwa bingwa kidunia? Hivi huna habari kuna mbongo mwenzetu ni mtu nyeti sana kwenye tafiti za NASA na wala hafahamiki hapa kwakuwa hana mchango wowote kwa nchi yetu ila kwa hao wamarekani? Kuwa kichwa sio issue maana vichwa wapo wengi tu ila mchango wako kwa maendeleo ya jamii ndio issue na wala si zaidi ya hapo.
 
Tuchangie hoja kama waelewa wa mambo.ni nani asiyejua umuhimu wa Prof Lipumba ktk Taifa hili?Tuache hoja za kanisa,msikiti na ubaguzi wa kisiasa,kama Prof Lipumba ni Mtu muhimu kwa uchumi wa nchi yetu utakaotoa ajira na neema kwa wote tumtumie ili atusaidie.Tuache chuki,majungu na fatina ktk Taaluma za Watu. Ninatoa Mwito kwa Watanzania wote tukampokee bila ya kujali tofauti zetu za Dini,Siasa au Jinsia.
 
Back
Top Bottom