Watanzania wazawa wote kuondolewa mjini

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Kilakukicha Dar es salaam kuna maghorofa yanajengwa
Ukiangalia utasema sasa hali ya nyumba dar inakuwa nzuri.
Tatizo hayo majumba hayapangiki na Mtanzania wa kawaida bei ya kodi si chini ya dola 1500-na kuendelea.
Je nilengo la hawa wenye nyumba kuwaondoa wazawa mjini?
 
Sina shaka ni swala la muda tu. Ninaamini itatuhitaji muda kidogo tu kuthibitisha kuwa mwanzo tulioanza nao wa kujitahidi kila mtu kuwa na nyumba yake bado unahitajika hata kama mfumo wa soko huria unataka tuamini vinginevyo. Wito wangu kwa wenye vijisenti kidogo, jitahidini kuwekeza kwenye vimijengo: msijewaachia watoto na ndugu zenu hivyo vijihela mkiamini kuwa watatumia kupanga. Tuendako ni kugumu sana kumiliki nyumba na soko likiishawekwa kwenye utaratibu wa wenyenazo, tumekwisha!

Kabla hatujaisha, tujitahidi saasaaaa... (ingawa mkombozi wenu yu njiani).
 
Kuna tatizo gani hapa?, kodi ya USD 1500 ni sawa na sh. Mil mbili na robo: are sure hii ndo kodi ya apartiments za kariakoo, nijuavyo mimi kodi ya apt za kkoo ni upward ya sh 400000 ambayo ni average expenditure ya mkazi wa kawaida wa jijini anayefanya kazi city centre,naona kuwa it can be relatively cheaper kuishi kwenye hizo apartments kuliko kuishi pembeni ya city kwenye own hut.
Kilakukicha Dar es salaam kuna maghorofa yanajengwa
Ukiangalia utasema sasa hali ya nyumba dar inakuwa nzuri.
Tatizo hayo majumba hayapangiki na Mtanzania wa kawaida bei ya kodi si chini ya dola 1500-na kuendelea.
Je nilengo la hawa wenye nyumba kuwaondoa wazawa mjini?
 
Sisi weusi tukijenga tutaambiwa ni mafisadi na hao hao weusi wenzetu wanaolalamika, naona zile chembe chembe za Ukomunisti zipo kwenye damu ya watanzania wengi, hili linazuiya kasi ya watanzania kwenda speedy.
 
Kuna tatizo gani hapa?, kodi ya USD 1500 ni sawa na sh. Mil mbili na robo: are sure hii ndo kodi ya apartiments za kariakoo, nijuavyo mimi kodi ya apt za kkoo ni upward ya sh 400000 ambayo ni average expenditure ya mkazi wa kawaida wa jijini anayefanya kazi city centre,naona kuwa it can be relatively cheaper kuishi kwenye hizo apartments kuliko kuishi pembeni ya city kwenye own hut.
Mnh...............
 
Huna uhakika fanya research, kile kibanda cha biashara tu cha kariakoo, mita mbili kwa mita mbili si chini ya 500,000.00
 
Sisi weusi tukijenga tutaambiwa ni mafisadi na hao hao weusi wenzetu wanaolalamika, naona zile chembe chembe za Ukomunisti zipo kwenye damu ya watanzania wengi, hili linazuiya kasi ya watanzania kwenda speedy.

Ukiuliza nyumba nyingi ni za weusi tena wa TZ
 
Ni za weusi lakini vimeandikishwa kwa majina ya kihindi au kiarabu au kichina siku hizi, Lol! kazi ipo wabongo.

Hawa weusi wenzetu na wa TZ asilia wawe na huruma kodi ni kubwa sana
 
kweli tungepewa fursa ya kukuwa, mgeni akiwekeza halipi kodi miaka 10 ya mwanzo, akimaliza miaka anabadilisha management na jina ya kampuni apate nyingi tax holiday, sisi wa kuwezeshwa kwa upendeleo maalum ndio tunalipa mabilioni ili wahindi waarabu na mafisadi wayachote kufanyia tena biashara bila kodi, inauma sana!!!
 
Back
Top Bottom