Watanzania wapenda mabadiliko, Tufanye kazi ya Ziada ili kuwakabili CCM na mbinu zao

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Jamani, nashauri tuanze kupiga kampeni kwa njia zote.
Siku ni chache, kila mtu pale alipo awajibike.

Message kutoka Finland ziliwafikia watu wengi. Tusipuuze madhara yake, nashauri tufanya kuzuia madhara au kujenga imani kwa Watanzania zaidi.

" Chagua Chadema, Chagua Dk Slaa kwa Amani,Maendeleo, na Mshikamano. Bei za bidhaa muhimu kama sukari, mafuta ya kupikia, vifaa vya ujenzi vitapungua bei. Pia Elimu ni Bure, Afya Bure na barabara za vijijini zitaimarishwa. Inawezekana kwa sababu Madini yetu hayataibwa na mafisadi, Mapato ya utalii,viwanja vya ndege na bandari yatatumiwa vyema,serikali ya chadema itaepuka matumizi ya anasa kama mashangigi ya Mawaziri, na wakuu wa mikoa/wilaya. Chagua Slaa, chagua Chadema"

Huyo ni ujumbe mzuri kabisa hauna matata.
 
Well said..Kama kungekuwa na uwezekano wa kununua muda wa matanganzo ya tv au redio japo kwa dk 1 kwa siku ingesaidia.Kwani ni matangazo kama mengine tu ya biashara?
 
Tuma ujumbe kwa njia ya simu na sambaza si lazima matangazo ya TV. Watumie rafiki zako nao wawatumie rafiki zao wengi na hiyo ndio kampeni ya nguvu.
 
Back
Top Bottom