Watanzania wanne wafanyabiashara wauawa Msumbiji na majambazi kwa risasi

Nasikia kuna vitendo vya manyanyaso sana kwa wabongo wanaoingia Msumbuji hasa kutoka kwenye vyombo vya serikali (Polisi na uhamiaji) na hata raia wa msumbiji pia lakini vice-versa is true, Nakutana nao kibao mtwara wanasema wamekuja kutalii bila bugudha yeyote.Huu urafiki ni urafiki wa kinafiki ni vyema serikali ikaliangalia hili upya kwa kupeleka malalamiko yao kwa serikali ya msumbiji.

R.I.P my fellow citizens.
 
Kuna mdada mmoja alikuwa anakuja Dar kimagendo sijui kwa basha wake, hajui English wala Kiswahili mimi na jamaa yangu tukamchomea Lindi akapigwa pingu!!

Basi zima walitulaani kwa kumchomea yule dada ila niliwaambia hawa ukiwa kwao ni jeuri sana sina huruma nao hata kidogo, Watanzania tuna wema wa mshumaa sana
 
Inauma sana kwa kweli! Wanatutenda kama yatima hawa watu. Juzi India leo Msumbiji na hawa watu tuko nao humu Tz wanaishi k2a raha na heshima zote.

nadhani serikali zetu zinapaswa kuandaa propaganda za kujenga mahusiano kwa individual people. Yaani maybe movies ama documentaries za kutuweka juu katika ulingo wa kimataifa yaani tuwena identity na sisi maana tunakuwa kituko sasa duniani.

Anyway this was apparently a random act ya ujambazi na ingeweza kumtokea yeyote huko
 
Hii ya huku kwetu ilishabinafsishwa siku nyingi. Hata ukaivumbua leo pale UKIRIGURU utaambiwa tu ondoka hili eneo ni la MUWEKEZAJI!!

Poleni sana wafiwa kwa kupoteza wapendwa wenu muhimu.

Ila chakusikitisha dhahabu tele wameiacha nyumbani huku wageni wakiifaidi. Tunahangaika sana watanzania wa hali ya chini kutafuta riziki ilihali watu wachache wanaishi kama wako peponi
 
Back
Top Bottom