Tuna mtindio mkubwa sana wa umasikini wa fikra.....Hili nalo ni moja ya Ajabu la Dunia kutoka Tanzania.
Hili nalo ni moja ya Ajabu la Dunia kutoka Tanzania.
Brilliant 👍🏾Waziri husika, anasema ameagiza badala ya kuletewa kutoka Marekani, wawekeze kwenye mpunga wa Tanzania ili kupata mchele bora... ama watupe fedha tuwekeze wenyewe
Baadhi ya watanzania usipo wafahamu vizuri utazani wanachukia mchele wa buleHili nalo ni moja ya Ajabu la Dunia kutoka Tanzania.